Lyrks
Lyrks
Sign In
Cover Art

Chapaa Lyrics by Abbas Kubaff

Angabanga

2013

[Intro]
Mi nalike chapaa vile we hu-like chapaa (yeah)
Mi nazipeleka bank ukizipeleka bar (round hii niko serious)
(Tshazi twende kazi, ye-ye-ye-yeah)

[Verse 1]
Doobeez ni mchizi mi ni msanii toka C-vo
Sisikiki sishikiki stishiki na vitisho
Naenda job na jeans juu nimevalia T-sho
Na tangu kitambo mi huwa, hivo-hivo
MC's wana ji-do kumbe hawan hata dough
Dough zimefanya ati watu mapembe zigrow
Wanapenda kujigamba na kumbe hawana hata flow
Traffic haijambamba mzeya, basi mbona unaenda slow?
Nairobi ukisleki basi jo utakuta door
Utakutwa na mtu tisa ukitoka Carnivore
Chuma kwenye kichwa mzeya, eti juu
Mi nazipeleka bank ukizipeleka bar!

[Chorus]
Mi na-like chapaa mi na mi na-like chapaa
Mi na-like chapaa, mi na mi na-like chapaa
Mi na-like chapaa mi na mi na-like chapaa
Mi nazipeleka bank ukizipeleka bar

[Verse 2]
Nafika Coast ku-cruise ndani ya 4x4
Naenda kupiga show, CDs na ma-casso
Mfuko nimesota, mzeiya jo niko na soo
Lakini haina noma, I hope mzeiya uko po-a
Seti hii kwa player juu kapuka imenibo
Tshazi twende kazi wacha jo niwapeleke slow
Wacha niwa-show jinsi ya kumake dough
Stage nikifika nipe mbili za vodo
Oh! Oh! Oh! Cheki ma-fovo
Cheki hizo macho jo mzeiya utasema "Oh!"
Bora tu nifike mzeiya nipige show
Mi nazipeleka bank ukizipeleka bar!

[Chorus]
Mi na-like chapaa mi na mi na-like chapaa
Mi na-like chapaa, mi na mi na-like chapaa
Mi na-like chapaa mi na mi na-like chapaa
Mi nazipeleka bank ukizipeleka bar

[Bridge]x2
Watu wanasemanga mi nakaa tu msee wa mtaa
Ni kama sina chapaa (We umesota!)
Wengine wanasemanga mi nakaa tu ka jamaa
Hawezi kuwa star (Abbas umesota!)

Watu wanasemanga mi nakaa tu msee wa mtaa
Ni kama sina chapaa (We umesota!)
Wengine wanasemanga mi nakaa tu ka jamaa
Hawezi kuwa star (Abbas umesota!)

[Chorus]x2
Mi na-like chapaa mi na mi na-like chapaa
Mi na-like chapaa, mi na mi na-like chapaa
Mi na-like chapaa mi na mi na-like chapaa
Mi nazipeleka bank ukizipeleka bar

Mi nalike chapaa vile we hu-like chapaa
Mi nazipeleka bank ukizipeleka bar
Mi nalike chapaa vile we hu-like chapaa
Chapaa, chapaa, chapaa

About “Chapaa” by Abbas Kubaff

Read the complete lyrics to "Chapaa" by Abbas Kubaff from the album "Angabanga" in 2013. On Lyrks you can follow along with the full text, explore the artist's discography, and discover related songs. The track is often categorized under Kenya, Rap.

"Chapaa" is performed by Abbas Kubaff. from the album "Angabanga" in 2013 This page provides the full lyric text for fans who want to sing along, study the songwriting, or compare versions across releases. Lyrks organizes lyrics by artist and song slug so you can bookmark and share a stable URL. Music lyrics help listeners connect with emotion, narrative, and rhythm in a track. Whether you are learning English, researching a favorite chorus, or preparing for karaoke, having accurate line breaks and section labels (verse, chorus, bridge) makes the experience easier. We link to the official artist profile on Lyrks where available, including biography snippets, top songs, and chart placements when we have that data. If you enjoy "Chapaa", explore more songs by Abbas Kubaff using the links below. Chart and trending pages on Lyrks highlight what listeners are searching for this week. For copyright or correction requests, see our DMCA and contact pages.

View all songs and biography for Abbas Kubaff · Trending lyrics · Billboard Hot 100

Frequently asked questions

"Chapaa" is credited to Abbas Kubaff. Songwriting credits may include additional writers listed on the release; check the credits section on this page for linked collaborators.

"Chapaa" appears on "Angabanga" in 2013.

Visit the Abbas Kubaff artist page at /artist/abbas-kubaff for biography, popular tracks, and links to more lyric pages.


Lyrks
Lyrks

Your gateway to the world of music lyrics.

Product

Features


© 2026 Lyrks. All rights reserved.