Lyrks
Lyrks
Lyrks
Cover Art

Salamaleku Lyrics by Afande Sele

0

[Intro: Sugu, Balozi, & Afande Sele]
Salamaleku, Balozi
Aleikum salam, Mr. 2
Afande Sele, salamaleku
Aleikum misalam, Mr. 2
Amani iwe kwa wote
[Verse 1: Sugu]
Sema "asalam aleikum"
Niseme "aleikum salam" (Salam)
Tunapeana salamu kutoka Dar-Es-Salaam
Bado wino unamwagika toka kwenye kalamu
Sitangazi umwagaji damu
Utamu wa amani wote tunaufahamu (Tamu, tamu)
Nishike mkono, nipe na tabasamu (Tabasamu)
Kokote unako kwenda nenda wape salamu (Salamu)
Toka Afrika mpaka Ulaya
Kila nnako kwenda nakutana na watu wabaya (Baya)
Mungu ananiepusha na naimba, "Haleluya" (Haleluya)
Mimi niko salama, nasimama natizama nyuma (Wima)
Wenzangu hawako salama
Ni kama wanasubiri tu ifike kesho kiama
Zama' wote wananitazama, ndipo nasema
Kina baba, kina mama
Salamaleku
[Chorus]
Salamaleku (Aleikum salam) Salam
Salamaleku (Aleikum salam) Salam
Salamaleku (Aleikum salam) Salam
Salamaleku (Aleikum salam) Salam
Salam
[Verse 2: Balozi]
Wasalam alеikum [?]
[?] watu, mimi na jukumu la kuendeleza amani
Barani Afrika 'kila kona nikitazama naona kumеchafuka (Peace, peace, peace)
Kwanini hatuwezi kuishi bila kujali dini, 'rangi au kabila
Kila panapo kucha na' mshukuru mola
Amani bado ipo hapa kwetu
Kila binadamu na wanadamu wenzake ni ndugu
Au' unasemaje Mr. Sugu, 'sawa sawa (Sawa)
Mimi na gahawa tuendele [kuche?]
Hapa kwetu hatutokubali kuwa na udikteta
Tungekuwa tunawafundisha watoto wetu mambo mema mapema
Tusingekuwa tunarudia kusema, amani idumishwe hapa kwetu (Balozi, sema)
Wasalam, aleikum
[Chorus]
Salamaleku (Aleikum salam) Salam
Salamaleku (Aleikum salam) Salam
Salamaleku (Aleikum salam) Salam
Salamaleku (Aleikum salam) Salam
Salam
[Verse 3: Sugu]
Salamaleikum
Aleikum salam
Fungua macho, hicho ulicho nacho sicho ulichonacho
Sema ni kipi cha thamani ulichonacho?
Ni ustaarabu au ni pete na mikufu ya dhahabu?
(Uh-Huh)
Mbona unanitazama kwa ghadhabu, au labda nazungumza bila adabu
Nazungumza kwa sababu nna sababu kama kungoja nitangoja
Roma haikujengwa siku moja
Najaribu kucheka na adui zangu wako wengi, wengine ni ndugu zangu
Mungu ndiye mlinzi wangu (Iyah)
Nasema salamaleikum
Hakuna anaye jibu, "walekumsalam" (Vibaya sana)
Wote wanatamani kumwaga damu
Ubinadamu kwao sio kitu muhimu
Nani anapenda vurugu?
Sisi sote ni ndugu
Naomba tuishi kama ndugu
Kwa wakristu na waislamu, 'salam aleikum
Walekum salam
[Chorus]
Salamaleku (Aleikum salam) Salam
Salamaleku (Aleikum salam) Salam
Salamaleku (Aleikum salam) Salam
Salamaleku (Aleikum salam) Salam
Salam
Salamaleku (Aleikum salam) Salam
Salamaleku (Aleikum salam) Salam
Salamaleku (Aleikum salam) Salam
Salamaleku (Aleikum salam) Salam
Salam

About “Salamaleku” by Afande Sele

Read the complete lyrics to "Salamaleku" by Afande Sele. On Lyrks you can follow along with the full text, explore the artist's discography, and discover related songs. The track is often categorized under Rap.

"Salamaleku" is performed by Afande Sele. This page provides the full lyric text for fans who want to sing along, study the songwriting, or compare versions across releases. Lyrks organizes lyrics by artist and song slug so you can bookmark and share a stable URL. Music lyrics help listeners connect with emotion, narrative, and rhythm in a track. Whether you are learning English, researching a favorite chorus, or preparing for karaoke, having accurate line breaks and section labels (verse, chorus, bridge) makes the experience easier. We link to the official artist profile on Lyrks where available, including biography snippets, top songs, and chart placements when we have that data. If you enjoy "Salamaleku", explore more songs by Afande Sele using the links below. Chart and trending pages on Lyrks highlight what listeners are searching for this week. For copyright or correction requests, see our DMCA and contact pages.

View all songs and biography for Afande Sele · Trending lyrics · Billboard Hot 100

Frequently asked questions

"Salamaleku" is credited to Afande Sele. Songwriting credits may include additional writers listed on the release; check the credits section on this page for linked collaborators.

Album information for "Salamaleku" is not available in our database yet. You can still read the full lyrics on this page.

Visit the Afande Sele artist page at /artist/afande-sele for biography, popular tracks, and links to more lyric pages.