Lyrks
Lyrks
Lyrks
Cover Art

Nairobi Lyrics by Marioo

The Godson

2024

[Instrumental Intro]
Ooh, ooh yeah
Kutoka, haloo
Mm, mm
(It's Cannibal)
[Verse 1: Marioo]
Nilikutana nae 'Kilimani, Nairobi
Elfu mobile na kumi na tano
Kibaridi cha asubuhi, ki jua fulani sio kikali, saa tano
Oh, Nairobi elfu mobile na kumi na tano
Nikamchagua yeye, katikati ya wenzake watano
(Ah)
Nikamuomba, akaniomba 'number
Moyoni mwangu nikampa 'moja
She's my number, number, 'moja
Nikamuomba, akaniomba number
Moyoni mwangu nikampa moja
Now, she's my number, number, 'moja
Yaani namaanisha kwamba...
[Chorus]
Ndio tushaoana
Tushaoana
Ndio tushaoana
Ndio tushaoana
[Instrumental Break]
[Bridge: Bien]
Tushaoana
Tushaoana
Tushaoana
Tushaoana
Tushaoana
Tushaoana
[Verse 2: Bien]
Tulipatana Bongo, 'Mikocheni
Niko zangu beach nala upepo wa bahari
Alinipita kama meli
Anayumba, yumba akidondosa kishenzi
Oh, Mikocheni
Nikamfuata utadhani zombie
Habari gani, mbona uko lonely?
Jina ni gani? 'akasema, Zai
Nikamwambia aje (Aje)
Nikamwambia kwangu ni kwake
Nimshike wapi, ndio aje
Nataka moyo wangu uwe wake
Watangoja sana
Wakidhania tutaachana
Mimi na yeye tumeshaivana
Naichapa usiku na mchana
Yay, yay, yay
Yaani namaanisha kwamba...
[Post-Chorus: Bien & Marioo]
Ndio tushaoana
(Nishaoana na yeye, sa ni mi tu na yeye)
Tushaoana
(Nishaoana na yeye, sa ni mi tu na yеye)
Ndio tushaoana
Tushaoana
Tushaoana
Tushaoana
Ndio tushaoana
Tushaoana
Tushaoana
Tushaoana, ah
Oh, yeah, yeah
Tushaoana
Oh, oh, haloo
Credits

About “Nairobi” by Marioo

Read the complete lyrics to "Nairobi" by Marioo from the album "The Godson" in 2024. On Lyrks you can follow along with the full text, explore the artist's discography, and discover related songs. The track is often categorized under Kenya, Tanzania, Bongo Flava.

"Nairobi" is performed by Marioo. from the album "The Godson" in 2024 This page provides the full lyric text for fans who want to sing along, study the songwriting, or compare versions across releases. Lyrks organizes lyrics by artist and song slug so you can bookmark and share a stable URL. Music lyrics help listeners connect with emotion, narrative, and rhythm in a track. Whether you are learning English, researching a favorite chorus, or preparing for karaoke, having accurate line breaks and section labels (verse, chorus, bridge) makes the experience easier. We link to the official artist profile on Lyrks where available, including biography snippets, top songs, and chart placements when we have that data. If you enjoy "Nairobi", explore more songs by Marioo using the links below. Chart and trending pages on Lyrks highlight what listeners are searching for this week. For copyright or correction requests, see our DMCA and contact pages.

View all songs and biography for Marioo · Trending lyrics · Billboard Hot 100

Frequently asked questions

"Nairobi" is credited to Marioo. Songwriting credits may include additional writers listed on the release; check the credits section on this page for linked collaborators.

"Nairobi" appears on "The Godson" in 2024.

Visit the Marioo artist page at /artist/marioo for biography, popular tracks, and links to more lyric pages.