Lyrks
Lyrks
Lyrks
Cover Art

Tatizo Lyrics by Billnass

0

Sio, sio kwamba mi nina wivu hivyo
Ila tatizo kwamba ulileta maringo
Ukashindwa geuza shingo
Sababu sikuwa na mingle
Ukanikana mbele ya wana ukaleta mazingzong
Kule, Kinondoni Moscow, life changamoto
Ughetto moja local, unadai ilivyo joto
Mapenzi kweli nyoso, ukaniacha kwenye msoto
Ukataka toka na vibopa (Masonko)
Nikakosa pambio, mtoto wa ghetto
Ukanifanya mpaka nikaonekana mental
Pindi nadanda danda mambo hayajasettle
Si ulitaka taka mali
Na mengine visizo na hali
Ndo sababu haukuenda mbali
Na mi rudi na hizo mali
Si ulitaka taka mali
Ukaniona choka mbaya
So ukiniona mimi tena
Naomba ukar kae mbali
Tatizo ni kwamba, nimeanza na ukurasa mpya
Na reason ni kwamba, nimeanza na ukurasa mpya
Tatizo, tatizo, tatizo, Tatizo, tatizo, tatizo
Dada tatizo
Naskia stori kibao, mama walo kibao
Na wenye hela kibao
Sa mbona umeachana nao, hao walionizidi kete
Wamekuwacha mpweke tatizo we kicheche
Na ladha we sahau
Nilivovisha kete naskia we ulicatch
Unataka tu mabeste haiwezekani eeh
Hatuwezi hata kumeet, unataka kurevenge
Hapana mama siwezi
Najua we una myo pia we una nafsi
Ulinipenda ila ulishindwa tu kubaki
We una moyo pia we na nafsi
Mahitaji yako sikutimiza kwa wakati
Ulitaka taka mali
Na mengine visizo na hali
Ndo sababu haukuenda mbali
Na mi rudi na hizo mali
Ulitaka taka mali
Ukaniona choka mbaya
So ukiniona mimi tena
Naomba ukar kae mbali
Tatizo ni kwamba, nimeanza na ukurasa mpya
Na reason ni kwamba, nimeanza na ukurasa mpya
Tatizo, tatizo, tatizo, Tatizo, tatizo, tatizo
Dada tatizo
Mpya...mpya...
Tatizo ni kwamba, nimeanza na ukurasa mpya
Na reason ni kwamba, nimeanza na ukurasa mpya
Tatizo, tatizo, tatizo, Tatizo, tatizo, tatizo
Dada tatizo
Credits

About “Tatizo” by Billnass

Read the complete lyrics to "Tatizo" by Billnass. On Lyrks you can follow along with the full text, explore the artist's discography, and discover related songs. The track is often categorized under Pop.

"Tatizo" is performed by Billnass. This page provides the full lyric text for fans who want to sing along, study the songwriting, or compare versions across releases. Lyrks organizes lyrics by artist and song slug so you can bookmark and share a stable URL. Music lyrics help listeners connect with emotion, narrative, and rhythm in a track. Whether you are learning English, researching a favorite chorus, or preparing for karaoke, having accurate line breaks and section labels (verse, chorus, bridge) makes the experience easier. We link to the official artist profile on Lyrks where available, including biography snippets, top songs, and chart placements when we have that data. If you enjoy "Tatizo", explore more songs by Billnass using the links below. Chart and trending pages on Lyrks highlight what listeners are searching for this week. For copyright or correction requests, see our DMCA and contact pages.

View all songs and biography for Billnass · Trending lyrics · Billboard Hot 100

Frequently asked questions

"Tatizo" is credited to Billnass. Songwriting credits may include additional writers listed on the release; check the credits section on this page for linked collaborators.

Album information for "Tatizo" is not available in our database yet. You can still read the full lyrics on this page.

Visit the Billnass artist page at /artist/billnass for biography, popular tracks, and links to more lyric pages.