Lyrks
Lyrks
Lyrks
Cover Art

Ntashinda Lyrics by Diamond Platnumz

2014

[Intro: Chege & Diamond Platnumz]
Check it out
Oh na na na na na na na
Eh eh eh
Oh na na na na na na na
Eh eh eh
Oh na na na na na na na
Eh eh eh
Oh, this is the remix
Oh na na na na na na na
Oh oh oh
[Verse 1: Diamond Platnumz]
Salamu zangu za kwanza
Ah, ziende kwa Mola na mama
Za pili Chamng'aza
Oh, mwambie asante sana
Za tatu dada angu
Asma na Halima Kimwana
Oh, mie usijali
Sijachoka napambana
Hii dunia ina mengi
Yenye raha na matatizo
Ogopa mapenzi
Oh, maana waga shinikizo
Hii dunia ina mengi
Yenye raha na matatizo
Ila sio mapenzi
Ndo huwaga chanzo cha vita...
[Chorus: Chege & Diamond Platnumz]
Oh na na na na na na na
(Oh, najua wananpinga)
Oh na na na na na na na
(Ila naamini ntashinda)
Oh na na na na na na na
(Hata wewe unapingwa...)
Oh na na na na na na na
(Ila amini ntashinda)
[Post-Chorus: Chege & Diamond Platnumz]
Ayayayaya (hey)
Ayayayayaya (hey)
Ayayayaya
(Oh, tena raha na matatizo)
Ayayayaya (hey)
Ayayayayaya (hey)
Ili mradi wakuharibie
[Verse 2: Diamond Platnumz]
Mola
Oh, nilinde rafiki zangu
Na
Uwape upendo ndugu zangu
Mola
Oh, nilinde na Tale wangu mimi
Na
Niwapende na maadui zangu
Tai
Nnaonekana mjinga ila kwetu ulefunzwa
Ndio maana kila wasemapo huwaga nakuza
Vimaneno maneno
Haviwezi niuguza
Sio siwezi
Najua ndo chanzo cha vita...
[Chorus: Chege & Diamond Platnumz]
Oh na na na na na na na
(Oh, najua wananpinga)
(Mi najua sana) Oh na na na na na na na (sana)
(Ila naamini ntashinda)
(Oh, naamini) Oh na na na na na na na (naamini)
(Hata wewe unapingwa...)
(Hata wewe) Oh na na na na na na na
(Ila amini ntashinda)
[Post-Chorus: Chege & Diamond Platnumz]
Ayayayaya (hey)
Ayayayayaya (hey)
Ayayayaya
(Oh, tena raha na matatizo)
Ayayayaya (hey)
Ayayayayaya (hey)
Ili mradi wakuharibie
[Chorus: Chege & Diamond Platnumz]
Oh na na na na na na na
(Oh, najua wananpinga)
(Najua sana) Oh na na na na na na na (sana)
(Ila naamini ntashinda)
(Naamini) Oh na na na na na na na
(Hata wewe unapingwa...)
Oh na na na na na na na
(Ila amini ntashinda)
[Bridge: Diamond Platnumz]
Oh oh oh
Ah, ziende kwa Mola na mama
Ah ah ah
Umwambie asante sana
Oh oh oh
Tonsa Mwamba au Karama
Imma
Umwambie Tumi asante sana
[Outro: Diamond Platnumz]
Eti Tuddy anaringa
Q Boy anaringa
Mara Romy anavimba
Kuzusha zusha bwana
Aga, Chege anaringa
Sota anavimba
Mkubwa Fella anaringa
Ili mradi tu lawama
(Wasafi...)

About “Ntashinda” by Diamond Platnumz

Read the complete lyrics to "Ntashinda" by Diamond Platnumz in 2014. On Lyrks you can follow along with the full text, explore the artist's discography, and discover related songs. The track is often categorized under Pop, Tanzania, Swahili.

"Ntashinda" is performed by Diamond Platnumz. in 2014 This page provides the full lyric text for fans who want to sing along, study the songwriting, or compare versions across releases. Lyrks organizes lyrics by artist and song slug so you can bookmark and share a stable URL. Music lyrics help listeners connect with emotion, narrative, and rhythm in a track. Whether you are learning English, researching a favorite chorus, or preparing for karaoke, having accurate line breaks and section labels (verse, chorus, bridge) makes the experience easier. We link to the official artist profile on Lyrks where available, including biography snippets, top songs, and chart placements when we have that data. If you enjoy "Ntashinda", explore more songs by Diamond Platnumz using the links below. Chart and trending pages on Lyrks highlight what listeners are searching for this week. For copyright or correction requests, see our DMCA and contact pages.

View all songs and biography for Diamond Platnumz · Trending lyrics · Billboard Hot 100

Frequently asked questions

"Ntashinda" is credited to Diamond Platnumz. Songwriting credits may include additional writers listed on the release; check the credits section on this page for linked collaborators.

Album information for "Ntashinda" is not available in our database yet. You can still read the full lyrics on this page.

Visit the Diamond Platnumz artist page at /artist/diamond-platnumz for biography, popular tracks, and links to more lyric pages.