Lyrks
Lyrks
Sign In
Cover Art

Utalala Lyrics by Dayoo

2021

Yap
Uh, Naitwa mangi
Yaani chagga tena nah
Oh yeh
Ooh
Mmh yeh
(O.Righty) Ah
Kiukweli mi sina kitu
Hali yangu kama unavyoona
Tu mishe za kule na huku
Viwalo vyangu vya ilala boma
Je kweli umeridhiana na mi
Vijora vya buku sita utavaa baby
Kuna maneno mengi mtaani
Mara nakuzeesha utaimili kweli
Usiropoke ukinuna ukiwa na hila
We niseme ata nikiwa na hasira
Usijifunze kukaa na jambo moyoni
Litakuja lisumbue baadae
Utakutana na nguna
Je we utakula
Vya kulumangia
Ndo nazingatia
Msaada wa ndugu sina
Je utavumilia
Umekuja mazima
We uje mazima
Na je baby?
Utalala lala?
Usingizi mororo
Utalala lala? (ah yeh mm ah)
Kwenye bungalow giza totoro
Utalala lala? (weh eh nah)
Gheto nna ndoo tu na godoro
Utalala lala? (weh eh mh)
Kesho tuamkie kiporo
Ah
Nashukuru umeona unifae (yeh)
Wakati ambao nipo juu ya mawe (yeah)
Ushaamua nshaamua na iwe (ah aah)
Sa baadae usije unikatae
Kiganjani mwangu usiniponyoke
Tupendane wambea tuwadondoshe
Yani baby nishike twende wote
Wakikutisha nipo hivyo usiogope
We kwangu zaidi ya sarafu sarafu baby
Kukupenda mbona sana tu sana baby
Utakutana na nguna
Je we utakula
Vya kulumangia ndo nazingatia
Msaada wa ndugu sina Je utavumilia?
Umekuja mazima we uje mazima
Na jee baby
Utalala (nami) lala (yeh)
Usingizi mororo
Utalala (ah yeh) lala
Kwenye bungalow giza totoro
Utalala (we eh ah) lala
Gheto nna ndoo tu na godoro
Utalala lala? (weh eh mh)
Kesho tuamkie Kiporo
Credits

About “Utalala” by Dayoo

Read the complete lyrics to "Utalala" by Dayoo in 2021. On Lyrks you can follow along with the full text, explore the artist's discography, and discover related songs. The track is often categorized under Pop.

"Utalala" is performed by Dayoo. in 2021 This page provides the full lyric text for fans who want to sing along, study the songwriting, or compare versions across releases. Lyrks organizes lyrics by artist and song slug so you can bookmark and share a stable URL. Music lyrics help listeners connect with emotion, narrative, and rhythm in a track. Whether you are learning English, researching a favorite chorus, or preparing for karaoke, having accurate line breaks and section labels (verse, chorus, bridge) makes the experience easier. We link to the official artist profile on Lyrks where available, including biography snippets, top songs, and chart placements when we have that data. If you enjoy "Utalala", explore more songs by Dayoo using the links below. Chart and trending pages on Lyrks highlight what listeners are searching for this week. For copyright or correction requests, see our DMCA and contact pages.

View all songs and biography for Dayoo · Trending lyrics · Billboard Hot 100

Frequently asked questions

"Utalala" is credited to Dayoo. Songwriting credits may include additional writers listed on the release; check the credits section on this page for linked collaborators.

Album information for "Utalala" is not available in our database yet. You can still read the full lyrics on this page.

Visit the Dayoo artist page at /artist/dayoo for biography, popular tracks, and links to more lyric pages.


Lyrks
Lyrks

Your gateway to the world of music lyrics.

Product

Features


© 2026 Lyrks. All rights reserved.