Lyrks
Lyrks
Lyrks
Cover Art

Maana Ake Nini? Lyrics by FRESHBOYZ

2023

Intro
Hakuna atakaekwambia
Ila ukipata wanajisogeza
Ndo hao hao wanajaza meza Na demu unaempa fedha
Si huku bure tunamega Akija kwako anajikweza
Chorus
Sasa hio maana ake nini? (Maana ake nini) Hio maana ake nini? (Maana ake nini)
Hio maana ake nini
Sasa hio maana ake nini? (maana ake nini) Hio maana ake nini?(maana ake nini)
Hio maana ake nini?
Sasa hio maana ake nini? (Maana ake nini) Hio maana ake nini? (Maana ake nini)
Hio maana ake nini
Sasa hio maana ake nini? (maana ake nini) Hio maana ake nini?(maana ake nini)
Hio maana ake nini?
Verse 1
Najua kama najua tell me something new
Najua kama wanajua si tunajua
But they acting like they fools
Si tunajua wanatujua ila hawataki kuonekana wanatujua Wanasubiri waone kwanza tumekua
Man that's some BULLSHIT!
Shpapi flani bad and boujèèh
Hawajibu DM hawa follow, hawa pay attention Labda wakiona una blue tick
Ndio maana wengi wenu mkishoboka kwa waliotoboa Mna expire wakishawavua vyupi
You get what you give..STUPID!
Cha nguoni mwako ndio kikulacho
Maana ake nini unanifwata nikiwanacho?
Maana ake nini nikikosa unapatikana kwa msako? Maana ake nini ukizikusanya zako zakwako
Za kwangu zakwako?
Verse 2
Niambie maana ake nini
Kua na wana shazi alafu ma snitch yani
Mwamba ila anatabia za ki pisi?
Sa we una pisi kali kwenye simu bebe bebe haziishi Ila hata moja ikija geto hautishi?
Maana ake nini?
Unakopakopa haulipi hata buku tano
Inakufanya uanze zama kwa miti
Na unavyopenda ma kiki
Ikifika weekend tu vipi leo tunawakaah!??
Hebu lala hio buku utakula pipi
Huyu mwana vipii??
Shit!
Dunia ina mambo mengi bhana
Me natafuta anauliza mbona unaspend sana Anaanza mpaka ku hate
Kabisa anapata stress nnavyo flex
Kama alinichangia kupata cash..Broh!?
Chorus
Sasa hio maana ake nini?(Maana ake nini) Hio maana ake nini? (Maana ake nini)
Hio maana ake nini?
Sasa hio maana ake nini? (maana ake nini) Hio maana ake nini?(maana ake nini)
Hio maana ake nini?
Sasa hio maana ake nini? (Maana ake nini) Hio maana ake nini? (Maana ake nini)
Hio maana ake nini?
Sasa hio maana ake nini? (maana ake nini) Hio maana ake nini?(maana ake nini)
Hio maana ake nini?
Verse 3
Oya weeh!
Sasa hio maana ake nini? Kuniuliza unachokiona nini Unataka kusali hauna dini? Kipi we unataka?
Huku kwetu hamuwezi fanya nyinyi Kifo cha mashaka
Ka' Daudi Balali alivoenda chini Usinitizame chini
Ukiona freshboys in a minute Ka'unajiamini fanya iwe Pini
Ni kumaanisha waone tunafanya nini
Wauni ka'umeweka pesa straight to the business amini From the start to the finish
Nilichoskia kwamba wanajiuliza si tutatoka lini? Tulipofikia babu atuwezi kuanza kujiuliza nini Usiulize maana IAM wanajua nafanya nini
Me ndo m'beba madini
Verse 4
Yeah..Maana ake nini mshua ana mawe alafu una suffer ndo Nilivyoulizwa kipindi naanza kusaka so..
Maana ake nini unahonga alafu hutoi sadaka
Na ibadani ukiwa unasali Kichwan unawaza papa tu (Mother*****!)
So far nilivyo mademu wanahisi nazuga maana
Naambiwa sijali hawaelewi najali muda
Maana ake nini tu ghafla mwanangu unageuka yuda
Kila nikitoa vyuma wanauliza lini ntachuja
Chorus
Sasa hio maana ake nini (Maana ake nini) Hio maana ake nini? (Maana ake nini)
Hio maana ake nini
Sasa hio maana ake nini? (maana ake nini) Hio maana ake nini?(maana ake nini)
Hio maana ake nini!?
Sasa hio maana ake nini? (Maana ake nini) Hio maana ake nini? (Maana ake nini)
Hio maana ake nini?
Sasa hio maana ake nini? (maana ake nini) Hio maana ake nini?(maana ake nini)
Hio maana ake nini?
Credits

About “Maana Ake Nini?” by FRESHBOYZ

Read the complete lyrics to "Maana Ake Nini?" by FRESHBOYZ in 2023. On Lyrks you can follow along with the full text, explore the artist's discography, and discover related songs. The track is often categorized under Rap.

"Maana Ake Nini?" is performed by FRESHBOYZ. in 2023 This page provides the full lyric text for fans who want to sing along, study the songwriting, or compare versions across releases. Lyrks organizes lyrics by artist and song slug so you can bookmark and share a stable URL. Music lyrics help listeners connect with emotion, narrative, and rhythm in a track. Whether you are learning English, researching a favorite chorus, or preparing for karaoke, having accurate line breaks and section labels (verse, chorus, bridge) makes the experience easier. We link to the official artist profile on Lyrks where available, including biography snippets, top songs, and chart placements when we have that data. If you enjoy "Maana Ake Nini?", explore more songs by FRESHBOYZ using the links below. Chart and trending pages on Lyrks highlight what listeners are searching for this week. For copyright or correction requests, see our DMCA and contact pages.

View all songs and biography for FRESHBOYZ · Trending lyrics · Billboard Hot 100

Frequently asked questions

"Maana Ake Nini?" is credited to FRESHBOYZ. Songwriting credits may include additional writers listed on the release; check the credits section on this page for linked collaborators.

Album information for "Maana Ake Nini?" is not available in our database yet. You can still read the full lyrics on this page.

Visit the FRESHBOYZ artist page at /artist/freshboyz for biography, popular tracks, and links to more lyric pages.