Lyrks
Lyrks
Lyrks
Cover Art

Baraka Lyrics by Gelax

2018

INTRO
Wa kri sto
Chorus
Nilivyookolewa Nilihesabu Baraka
Jaribu nikishinda Nahesabu Baraka
Ni Kila kukikucha Nahesabu Baraka
Baraka, Baraka, Baraka
2017,Nimehesabu Baraka
2018, Naihesabu ni Baraka
2019, Nikuziteka Baraka
Na Milele Yangu kuziteka Baraka
Baraka, Baraka, Baraka
Verse
Baraka kama mvua zinashuka
Sio mpaka niende Kenya kwa kenyata
Kwa magufuli hapa hapa nitapata
Baraka zangu zina mbio zitanikamata
Kutoka juu zimetumwa ni kamili
Nimeona wema wake ukinifadhili
Hata Msamaha wa dhambi Yesu aliukabli
Kwa Neema yako ni baraka kubwa leo nakiri,,
Mimi kutoa, natoa nilichonacho
Wewe umeniokoa, umenipa nisichonacho
Ni Upendo wako Mungu una nguvu kuu
Unao uwezo wa ajabu Zaidi ya sumaku
Chorus
Nilivyookolewa Nilihesabu Baraka
Jaribu nikishinda Nahesabu Baraka
Ni Kila kukikucha Nahesabu Baraka
Baraka, Baraka, Baraka
2017,Nimehesabu Baraka
2018, Naihesabu ni Baraka
2019, Nikuziteka Baraka
Na Milele Yangu kuziteka Baraka
Baraka, Baraka, Baraka
Nakumbuka namna ulivyoisha mwaka
Kambini kwenye maombi ya shukrani na sadaka
Tukiwa na Imani mkono wa kupokea Baraka
Roho alishuka kwa kila aliyemtaka
Aliniambia , kwa elfu mbili na kumi na saba
Kila siku yako moja itakuwa na Baraka
Ukweli zimefika na nimeziandika
Sikuwahi pungukiwa,wala hakuwahi kuniacha
Na kazi nikapata, nikaanza hesabu siku
Ombi nililosahau nilishtuka, ulivyo nijibu
Ingekuwa mwanadamu angesema sipati kitu
Lakini Nakushukuru Mungu uliye mwaminifu
Chorus
Nilivyookolewa Nilihesabu Baraka
Jaribu nikishinda Nahesabu Baraka
Ni Kila kukikucha Nahesabu Baraka
Baraka, Baraka, Baraka
2017,Nimehesabu Baraka
2018, Naihesabu ni Baraka
2019, Nikuziteka Baraka
Na Milele Yangu kuziteka Baraka
Baraka, Baraka, Baraka
VERSE
Baraka za rohoni tumepewa
Baraka za mwilini tumepewa
Pumzi ya uhai nayo tumepewa
Jina lenye mamlaka nalo tumepewa
Hazina yangu mbinguni nimeekewa
Kuzipata zote mi nahisi nachelewa
Baraka nazipata bila hata kuomba
Ukweli Nimehesabu january mpaka disemba
Chorus
Nilivyookolewa Nilihesabu Baraka
Jaribu nikishinda Nahesabu Baraka
Ni Kila kukikucha Nahesabu Baraka
Baraka, Baraka, Baraka
2017,Nimehesabu Baraka
2018, Naihesabu ni Baraka
2019, Nikuziteka Baraka
Na Milele Yangu kuziteka Baraka
Baraka, Baraka, Baraka
Credits

About “Baraka” by Gelax

Read the complete lyrics to "Baraka" by Gelax in 2018. On Lyrks you can follow along with the full text, explore the artist's discography, and discover related songs. The track is often categorized under Rap.

"Baraka" is performed by Gelax. in 2018 This page provides the full lyric text for fans who want to sing along, study the songwriting, or compare versions across releases. Lyrks organizes lyrics by artist and song slug so you can bookmark and share a stable URL. Music lyrics help listeners connect with emotion, narrative, and rhythm in a track. Whether you are learning English, researching a favorite chorus, or preparing for karaoke, having accurate line breaks and section labels (verse, chorus, bridge) makes the experience easier. We link to the official artist profile on Lyrks where available, including biography snippets, top songs, and chart placements when we have that data. If you enjoy "Baraka", explore more songs by Gelax using the links below. Chart and trending pages on Lyrks highlight what listeners are searching for this week. For copyright or correction requests, see our DMCA and contact pages.

View all songs and biography for Gelax · Trending lyrics · Billboard Hot 100

Frequently asked questions

"Baraka" is credited to Gelax. Songwriting credits may include additional writers listed on the release; check the credits section on this page for linked collaborators.

Album information for "Baraka" is not available in our database yet. You can still read the full lyrics on this page.

Visit the Gelax artist page at /artist/gelax for biography, popular tracks, and links to more lyric pages.