Lyrks
Lyrks
Sign In
Cover Art

Watu Lyrics by Jay Melody

Therapy

2024

[Intro]
JINI X66
Ooh, yeah, la-la
Ooh, yah
Oh, once again, mh

[Verse 1]
Kama ni mapenzi
Yaniuwe basi, yaniuwe
Huu mzigo basi unitue
Kama siyajui, nipeleke shule
Baby, kwengine sioni
Penzi lako lanipa upofu weh
Kwa mikono yako nichukue
Kwenye makorongo usinitue
Baby

[Pre-Chorus]
Mi nishajikomba sana
Kwa masela, majita
We ndio changu kipenzi
Nishawaambia we ndio changu kipenzi
Sa usije kunichanganya
Mwenzako nitakwisha
Si ushajuwa siwezi
Bila ya penzi lako mimi siwezi
Mimi, mimi

[Chorus]
Watu (Mh)
Nitawaambia nini, watu
Nitawaambia nini, watu
Nitawaambia nini, watu
Mimi, mimi
Watu (Mh)
Nitawaambia nini, watu
Nitawaambia nini, watu
Nitawaambia nini, watu
Mimi, mimi

[Bridge]
Ooh, la-la, mh

[Verse 2]
Bila wewe mi nitakosa uhai
Bila we 'life halitanoga
Ni raha tupu vile unanikosha
Utaniambia nini, kuhusu mapenzi
Kwako nimegota
Nikikuona ka nimeona nyota
Kwa penzi lako, chozi lanidondoka
Mwenzio usiniweke roho juu

[Pre-Chorus]
Mi nishajikomba sana
Kwa masela, majita
We ndio changu kipеnzi
Nishawaambia we ndio changu kipenzi
Sa usije kunichanganya
Mwеnzako nitakwisha
Si ushajuwa siwezi
Bila ya penzi lako mimi siwezi
Mimi, mimi

[Chorus]
Watu (Mh)
Nitawaambia nini, watu
Nitawaambia nini, watu
Nitawaambia nini, watu
Mimi, mimi
Watu (Mh)
Nitawaambia nini, watu
Nitawaambia nini, watu
Nitawaambia nini, watu
Mimi, mimi

(Instrumentals)

Music
Credits

About “Watu” by Jay Melody

Read the complete lyrics to "Watu" by Jay Melody from the album "Therapy" in 2024. On Lyrks you can follow along with the full text, explore the artist's discography, and discover related songs. The track is often categorized under Bongo Flava, Tanzania, Swahili.

"Watu" is performed by Jay Melody. from the album "Therapy" in 2024 This page provides the full lyric text for fans who want to sing along, study the songwriting, or compare versions across releases. Lyrks organizes lyrics by artist and song slug so you can bookmark and share a stable URL. Music lyrics help listeners connect with emotion, narrative, and rhythm in a track. Whether you are learning English, researching a favorite chorus, or preparing for karaoke, having accurate line breaks and section labels (verse, chorus, bridge) makes the experience easier. We link to the official artist profile on Lyrks where available, including biography snippets, top songs, and chart placements when we have that data. If you enjoy "Watu", explore more songs by Jay Melody using the links below. Chart and trending pages on Lyrks highlight what listeners are searching for this week. For copyright or correction requests, see our DMCA and contact pages.

View all songs and biography for Jay Melody · Trending lyrics · Billboard Hot 100

Frequently asked questions

"Watu" is credited to Jay Melody. Songwriting credits may include additional writers listed on the release; check the credits section on this page for linked collaborators.

"Watu" appears on "Therapy" in 2024.

Visit the Jay Melody artist page at /artist/jay-melody for biography, popular tracks, and links to more lyric pages.


Lyrks
Lyrks

Your gateway to the world of music lyrics.

Product

Features


© 2026 Lyrks. All rights reserved.