Lyrks
Lyrks
Lyrks
Cover Art

Napendwa Lyrics by Josco boy

Napendwa

2022

Ukini Chukia Waji Chukia Mwenyewe Yoyo..
Sinaga shida na mtu Yoyote Ayoyo
Upendo na Watu wote...
Sina Tatizo na Mtu Yo yo!
Upendo na Watu wote
Sina Tatizo na Mtu Yo yo!
Ata Unitukane
Lakini Nazidi kujiami Yoo..
Sina Mawazo mengi
Sababu Na Juwa Napendwa
Ata Unitukane
Lakini Nazidi kujiami Yoo..
Sina Mawazo mengi
Sababu Na Juwa Napendwa
Mimi Napendwa Napendwa
Napendwa yoyo....
Mimi Napendwa Napendwa
Napendwa yoyo ...
Mimi Napendwa Napendwa
Napendwa yoyo...
Mimi Napendwa Napendwa
Napendwa yoyo...
Sijali Kama Unanichukia
Maana Na zadi Kupendwa
Wanakesha chumbani joto
Kujifanya MA star Kipindi Wana Lala kwenye Nyumba
Za Matope!
Nikipita Mtaani Wengi
Wananicheka
Achani Wivu Ila ujuwe ukini Chukia Waji Chukia
Mwenyewe
Imwana Wabashi Mmuma Ebokoma
Ex Anajuta Kunichanganya
Nimebahatika Kupendwa
Kuwa Hapa ni Sababu Napendwa Nape nape napе Napendwa
Na skia mtandaoni Eti Follow
Ashindane Na Nyago
Mimi siendеkezi ujinga Kama uooh
Ziwezi Kushinda nishwa Sababu
Najuwa Mimi Sio Levo Zaoo..
Mimi Napendwa Napendwa
Napendwa yoyo....
Mimi Napendwa Napendwa
Napendwa yoyo ...
Mimi Napendwa Napendwa
Napendwa yoyo...
Mimi Napendwa Napendwa
Napendwa yoyo...
Credits

About “Napendwa” by Josco boy

Read the complete lyrics to "Napendwa" by Josco boy from the album "Napendwa " in 2022. On Lyrks you can follow along with the full text, explore the artist's discography, and discover related songs. The track is often categorized under R&B, Bongo Flava.

"Napendwa" is performed by Josco boy. from the album "Napendwa " in 2022 This page provides the full lyric text for fans who want to sing along, study the songwriting, or compare versions across releases. Lyrks organizes lyrics by artist and song slug so you can bookmark and share a stable URL. Music lyrics help listeners connect with emotion, narrative, and rhythm in a track. Whether you are learning English, researching a favorite chorus, or preparing for karaoke, having accurate line breaks and section labels (verse, chorus, bridge) makes the experience easier. We link to the official artist profile on Lyrks where available, including biography snippets, top songs, and chart placements when we have that data. If you enjoy "Napendwa", explore more songs by Josco boy using the links below. Chart and trending pages on Lyrks highlight what listeners are searching for this week. For copyright or correction requests, see our DMCA and contact pages.

View all songs and biography for Josco boy · Trending lyrics · Billboard Hot 100

Frequently asked questions

"Napendwa" is credited to Josco boy. Songwriting credits may include additional writers listed on the release; check the credits section on this page for linked collaborators.

"Napendwa" appears on "Napendwa " in 2022.

Visit the Josco boy artist page at /artist/josco-boy for biography, popular tracks, and links to more lyric pages.