Lyrks
Lyrks
Lyrks
Cover Art

Heartbreak Lyrics by Ken Demacra

0

Ken Demacra
Heartbreak Lyrics
(Intro)
Dollar boy (Oyeeeh)
(Verse 1)
Ooooh Nimeangalia Dunia
Imejawa Na Mateso
Unujuwaji Wa Mapenzi
Kwa Hapo Soko
Na Mungu Aliyeumba Dunia
Akaweka Warembo
Ila Wakipata Chali Maskini
Pesa Wamegeuza Nyimbo
Tena Hawajui Maisha Ni Mwendo Wa Kobe
Wamegeuka Parasitiki Kunyonya Kama Kupe
Ila Kinachoniumiza Kizunguzungu
Rangi Wanaopenda Mzunguzungu
Mara Wanajifanya Wanaongea Kizungu
Penzi Limegeuka Kama Poti La Kombora
Maneno Ananichafua moyo Imeparara
Ila Kinachoniumiza Kunibeba Wana
Wewe Ukiwa Mbali Uoni Hiyo Pana
Kumbe Hata Jina Unaitwa Tina
Safari Ndefu Unadai China
Pre-chorus
Leo Sipigi Magoti
Sichangi Kodi
Hatudance Odi
Shingo Fupi Sio Mlingoti
(Chorus)
Umeniheartbreak
Kwa Kusema Umenivunja Roho
Umеniheartbreak
Kwa Kusema Umеnivunja Roho
Nakuomba Usijenipigia Simu Tena
Nakuomba Usijenipigia Simu Tena
Maana umeniheartbreak
Kwa Kusema Umenivunja Roho
Umeniheartbreak
Kwa Kusema Umenivunja Roho
(Verse 2)
Ooooh Usiniulize Kwanini
Kwa maana Sitambui
Hizo Vitisho Vya Insta
Mwenzangu Unanizungua
Ooooh Tena Sikuamini
Kwa maana Ulinidanganya
Ukitaka Turudiane Na Wewe
Toa Kwenye Akili Ulipoteza Wakati
Ooooh ex aaeeee
Mtoto Wa Watu Aaaaeeeee
My Dear Aaaaeeeee
Ulipoteza Wakati
Kuelewana Ni Ngumu Kama Kuna Tharau
Niliitisha Sumu nikunywe Niwe Na Uhuru
Ila Sikujua Ni Vita Napigia Mtu Anipendi
Ningejua Kitambo Hata Singemuowa
(Pre-chorus)
Leo Sipigi Magoti
Hatudance Odi
Sichangi Kodi
Shingo Fupi Sio Mlingoti
(Chorus)
Umeniheartbreak
Kwa Kusema Umenivunja Roho
Umeniheartbreak
Kwa Kusema Umenivunja Roho
Nakuomba Usijenipigia Simu Tena
Nakuomba Usijenipigia Simu Tena
Maana umeniheartbreak
Kwa Kusema Umenivunja Roho
Umeniheartbreak
Kwa Kusema Umenivunja Roho
Dollar boy
Vipara rararararara

About “Heartbreak” by Ken Demacra

Read the complete lyrics to "Heartbreak" by Ken Demacra. On Lyrks you can follow along with the full text, explore the artist's discography, and discover related songs. The track is often categorized under Pop.

"Heartbreak" is performed by Ken Demacra. This page provides the full lyric text for fans who want to sing along, study the songwriting, or compare versions across releases. Lyrks organizes lyrics by artist and song slug so you can bookmark and share a stable URL. Music lyrics help listeners connect with emotion, narrative, and rhythm in a track. Whether you are learning English, researching a favorite chorus, or preparing for karaoke, having accurate line breaks and section labels (verse, chorus, bridge) makes the experience easier. We link to the official artist profile on Lyrks where available, including biography snippets, top songs, and chart placements when we have that data. If you enjoy "Heartbreak", explore more songs by Ken Demacra using the links below. Chart and trending pages on Lyrks highlight what listeners are searching for this week. For copyright or correction requests, see our DMCA and contact pages.

View all songs and biography for Ken Demacra · Trending lyrics · Billboard Hot 100

Frequently asked questions

"Heartbreak" is credited to Ken Demacra. Songwriting credits may include additional writers listed on the release; check the credits section on this page for linked collaborators.

Album information for "Heartbreak" is not available in our database yet. You can still read the full lyrics on this page.

Visit the Ken Demacra artist page at /artist/ken-demacra for biography, popular tracks, and links to more lyric pages.