Lyrks
Lyrks
Sign In
Cover Art

Nitachana Lyrics by Ksonrap

2021

[Intro: Ksonrap]
Yeah!yeah
Word up son!
"Word is born"
Ksonrap
Aahh (Skia)

[Verse 1: Ksonrap]
Nitachana mpaka uzee kama Sugu;
Wakiloga nitachana kwa ishara kama bubu;
Sitoacha nitachana kama Rado kwenye kutu;
Kama Stopa nitachana style zaidi ya tatu;
Nini tuzo nitachana kama Nash msinipe ata buku;
Piga kiki piga snare mandavaku nitachana bila guitar bila dufu;
Nitachana kwenye nguzo na misingi bila promo za mabantu;
Gangsterr nitachana kama guru nitachana kiukombozi fikra ziwe huru;
Mkinipa mic nitachana mpaka ikulu miaka tele nitachana kama salu;
Nitachana kama Sloter wa majitu; Lwp Majitu
Mtoto wakiume nitachana kama geez mabovu;
Nitachana kama wembe wabaki na makovu;
Kitaani most wanted nitachana kama D Knob Nitachana kama D Rob;
Nitachana kino nitaibeba mabegani kama Nyandu nikiondoka mnikumbuke kama Dandu;
Nitachana kama lufu kwahizi tungo heavy kama Lindu;
Hakuna chakuogapa chini ya mbingu sitochana kuhusu chuki wala wivu;
Nitachana kiafrika kwa baraka za machifu masharifu;
Mawalii manabii watukufu turudi kwenye tamaduni zetu;
Sasa ndo nachana deep kama mansulii kina kirefu;
"sinza star"
Rest In Power Mac2b:

[Verse 2: Ksonrap]
Nitachana kama S.👽.G Buff G kiujamaa;
Nitachana kama Solo Thang kiulamaa;
Nitachana kama gangwe Luten kalamaa;
Sitoogopa nitachana kishujaa;
Nitachana kama cannibal na sharma;
Nitachana kama Zizzy lakuchumpa bei chee halina garamaa;
Nitachana kiprofessional kama fid bila weed bila drugs nitachana kama Chid;
Rasta bila dreadlocks nitachana kama mchizi mox;
Ghetto boy nitachana kama bibo climax till I die nitachana canabino conboi;
Kwahizi tungo zenye stanza adim nitachana kama Sogydoggy kwenye kibanda cha sim;
Sina kikosi kama pina nitachana kama dogo Hasheem;
Yoh! kibongo kinyamwenga nitachana kama Saigon;Oioi
Kama nature hili game taff kwеli nitachana kama raff nelly;
Back to the sua nitachana kama sight more;
Kama squeezеr kwa ubishi na hasira mimi naja nitachana kama d na k wamapacha;
Kwenye kipaza nitaubiri kama pastor nitachana kama zuzu tmk kwenye kinasa;
Nitachana kama kwanza na kibacha river camp nitachana kama bonta;
Jua likizama nitachana kama nyota:
Credits

About “Nitachana” by Ksonrap

Read the complete lyrics to "Nitachana" by Ksonrap in 2021. On Lyrks you can follow along with the full text, explore the artist's discography, and discover related songs. The track is often categorized under Underground Rap, Hip-Hop, Rap.

"Nitachana" is performed by Ksonrap. in 2021 This page provides the full lyric text for fans who want to sing along, study the songwriting, or compare versions across releases. Lyrks organizes lyrics by artist and song slug so you can bookmark and share a stable URL. Music lyrics help listeners connect with emotion, narrative, and rhythm in a track. Whether you are learning English, researching a favorite chorus, or preparing for karaoke, having accurate line breaks and section labels (verse, chorus, bridge) makes the experience easier. We link to the official artist profile on Lyrks where available, including biography snippets, top songs, and chart placements when we have that data. If you enjoy "Nitachana", explore more songs by Ksonrap using the links below. Chart and trending pages on Lyrks highlight what listeners are searching for this week. For copyright or correction requests, see our DMCA and contact pages.

View all songs and biography for Ksonrap · Trending lyrics · Billboard Hot 100

Frequently asked questions

"Nitachana" is credited to Ksonrap. Songwriting credits may include additional writers listed on the release; check the credits section on this page for linked collaborators.

Album information for "Nitachana" is not available in our database yet. You can still read the full lyrics on this page.

Visit the Ksonrap artist page at /artist/ksonrap for biography, popular tracks, and links to more lyric pages.


Lyrks
Lyrks

Your gateway to the world of music lyrics.

Product

Features


© 2026 Lyrks. All rights reserved.