Lyrks
Lyrks
Sign In
Cover Art

Pini Lyrics by Marioo

The Godson

2024

[Intro]
Kutoka, haloo
(It's Cannibal)

[Pre-Chorus: Marioo]
Siri sio siri tena
Nimefanikiwa
Kutoboa moyo wake na pini
Toh-toh..., 'toh
Moyo wake na pini
Toh-toh..., 'toh

[Verse 1: Marioo]
Mbio za sakafuni hazijawahi kufika hata kwenye ma taa
Inawezekanaje uniache, halafu nikuombee mema (Ooh)
Kila unachokiona, ndio "kua, uyaone" sio hayo ma taa
Inawezekanaje uniache, halafu nikuombee mema (Ooh)
Ubaya ubwela' mi shabiki wa Simba
Ukichapa la kushoto, na chapa la kulia, simuachii Mungu
Usilete usela kwa msela, mi sijawahi kushindwa
Ulinifanya vibaya ndio maana dua zangu zilifika kwa Mungu

[Hook 1: Marioo]
Nacheka meno 32 yote nje
(Ha-ha-ha)
Najifungiaga chumbani nazomea
(Oh, oh)
Nacheka meno 32 yote nje
(Ha-ha-ha)
Nimepata habari Ex wangu anaumia, ah

[Chorus]
Siri sio siri tena
Nimefanikiwa
Kutoboa moyo wake na pini
Toh-toh..., 'toh
Moyo wake na pini
Toh-toh..., 'toh

[Bridge: Aslay]
Ai, mama weh
Mh
Woah, woah, woah
Naona furaha
Ni-, ni-

[Verse 2: Aslay]
Nilinung'unika
Nilitokwa machozi yasiyo futika
Nilisulubika, nikapata stress za kutaka kufa
Si ulinidharau, ooh-ooh
Ulivyo pata wadau
Walivyo panda dau
Ukanitupa, ukaniona nyang'au
Sa hivi nimejipata
Umechacha, umechuna, unikome
Si ulikuwa kama Googlе
Unajuwa kila kitu, ushajuwa haujuwi
Mwenzako nishajipata
Napewa mapasi ya Pacome
Si ulikuwa kama Googlе
Unajuwa kila kitu, ushajuwa haujuwi (Eh-eh)

[Hook 2: Aslay]
Nacheka meno 32 yote nje
(Ha-ha-ha)
Najifungiaga chumbani nazomea
(Oh, oh)
Nacheka meno 32 yote nje
(Ha-ha-ha)
Nimepata habari Ex wangu anaumia, lo-lo lo-lo, lo-lo

[Post-Chorus: Marioo & Aslay, Both]
Siri sio siri tena
Siri sio siri tena
Nimefanikiwa
Nimefanikiwa mimi
Kutoboa moyo wake na pini
Toh-toh..., 'toh
Moyo wake na pini
Le, lele, lele
Toh-toh..., 'toh
Ai, mama weh
Naona furaha
Nasikia raha
Toh...,toh
Ai yeah
Toh toh riro-toh!
Moyo, moyo wake na pini
Shauri yake
Kutoka
Credits

About “Pini” by Marioo

Read the complete lyrics to "Pini" by Marioo from the album "The Godson" in 2024. On Lyrks you can follow along with the full text, explore the artist's discography, and discover related songs. The track is often categorized under Tanzania, Bongo Flava, Swahili.

"Pini" is performed by Marioo. from the album "The Godson" in 2024 This page provides the full lyric text for fans who want to sing along, study the songwriting, or compare versions across releases. Lyrks organizes lyrics by artist and song slug so you can bookmark and share a stable URL. Music lyrics help listeners connect with emotion, narrative, and rhythm in a track. Whether you are learning English, researching a favorite chorus, or preparing for karaoke, having accurate line breaks and section labels (verse, chorus, bridge) makes the experience easier. We link to the official artist profile on Lyrks where available, including biography snippets, top songs, and chart placements when we have that data. If you enjoy "Pini", explore more songs by Marioo using the links below. Chart and trending pages on Lyrks highlight what listeners are searching for this week. For copyright or correction requests, see our DMCA and contact pages.

View all songs and biography for Marioo · Trending lyrics · Billboard Hot 100

Frequently asked questions

"Pini" is credited to Marioo. Songwriting credits may include additional writers listed on the release; check the credits section on this page for linked collaborators.

"Pini" appears on "The Godson" in 2024.

Visit the Marioo artist page at /artist/marioo for biography, popular tracks, and links to more lyric pages.


Lyrks
Lyrks

Your gateway to the world of music lyrics.

Product

Features


© 2026 Lyrks. All rights reserved.