Lyrks
Lyrks
Lyrks
Cover Art

Jinsi Ilivo Lyrics by Michael Magow

2018

Ay
Ay
Nahisi hivo ndivo ilivo
Nahisi hivo ndivo ilivo eh
Nahisi hivo ndivo ilivo
Nahisi hivo ndivo ilivo
Siwezi badilisha
Ndio jinsi ilivo,ndio jinsi ilivo... eh
Ooh no
Nilikosa hamu ya kula lakini nikaishia kula marijuana
Nilichukua bapa ile sehemu lakini nikaishia mix topalkana
Nilisema sitaki tena cha ajabu nikaanza kumpenda sana
Ilitakiwa niende nae lakini ghafra sikuenda tena
Nilikua bored lakini nikaishia kuandika dude kali ona
Sikuwaza haya kweli mungu mkubwa nimepata zaidi ya haya
Nipo kwenye kitu wimbi lakini najua watasema hichi kitu fire
Nawashkaji kiga beach, washkaji mbezi beach
Sasa hivi nawashkaji kila pande ya street
Oh man tulikuwa watu kibao tumebaki baadhi
Sio masihara imekua serious
Sishangai wale wanataka be like us
Yule hapendi wakati anatoka same place with us
I think i understand,nahisi ndio ivo ilivo
Siwezi badili ndio jinsi ilivo,ndio jinsi ilivo
Hey yeih yeih yeih yeih yeih yeih
Nahisi hivo ndivo ilivo
Nahisi hivo ndivo ilivo eh
Nahisi hivo ndivo ilivo
Nahisi hivo ndivo nilivo
Siwezi badiliisha kitu
Siwezi badilisha
Siwezi badiliisha kitu
Nahisi hivo ndivo ilivo
Nahisi hivo ndivo ilivo
Nahisi hivo ndivo ilivo
Nahisi hivo ndivo nilivo
Siwezi badiliisha kitu
Siwezi badilisha
Siwezi badiliisha kitu
Thats just the way it is
Siwezi badilisha
Jinsi ilivo
Ni hali halisi
Nahisi hivo ndivo ilivo
Nahisi hivo ndivo ilivo
Siwezi badili, siwezi badilii... hey

About “Jinsi Ilivo” by Michael Magow

Read the complete lyrics to "Jinsi Ilivo" by Michael Magow in 2018. On Lyrks you can follow along with the full text, explore the artist's discography, and discover related songs. The track is often categorized under Rap.

"Jinsi Ilivo" is performed by Michael Magow. in 2018 This page provides the full lyric text for fans who want to sing along, study the songwriting, or compare versions across releases. Lyrks organizes lyrics by artist and song slug so you can bookmark and share a stable URL. Music lyrics help listeners connect with emotion, narrative, and rhythm in a track. Whether you are learning English, researching a favorite chorus, or preparing for karaoke, having accurate line breaks and section labels (verse, chorus, bridge) makes the experience easier. We link to the official artist profile on Lyrks where available, including biography snippets, top songs, and chart placements when we have that data. If you enjoy "Jinsi Ilivo", explore more songs by Michael Magow using the links below. Chart and trending pages on Lyrks highlight what listeners are searching for this week. For copyright or correction requests, see our DMCA and contact pages.

View all songs and biography for Michael Magow · Trending lyrics · Billboard Hot 100

Frequently asked questions

"Jinsi Ilivo" is credited to Michael Magow. Songwriting credits may include additional writers listed on the release; check the credits section on this page for linked collaborators.

Album information for "Jinsi Ilivo" is not available in our database yet. You can still read the full lyrics on this page.

Visit the Michael Magow artist page at /artist/michael-magow for biography, popular tracks, and links to more lyric pages.