Lyrks
Lyrks
Lyrks
Cover Art

Mapoz Lyrics by Diamond Platnumz

2024

[Intro: Jay Melody]
Mmh, mmh
Ooh no, no, no
Jay once again
[Verse 1: Jay Melody]
Penzi zito kilo mia hamsini
Vile napata raha utaniambia nini
Kuna muda kama siamini
Na kuna muda ni kaa napendwa na jini
Maana penzi lako ndege mtini
Niko matawi ya juu nishatulia mimi
For your love let me sing, sing
Nisha kolea hatari mapenzini
[Bridge: Jay Melody]
Tamu pipi ya kijiti
(Anhaa)
Ukiilamba unacheka
Na kibaridi hiki
Niozesheni hata ndo ya mkeka
Penzi halishikiki
(Anhaa)
Linavyo tetemesha
Si tufunge muziki
Nikuonyeshe jinsi ninavyo cheza
[Chorus: Jay Melody]
Mi na mapoz na mimi
Mapoz na mi
Mi na mapoz na mimi
Mapoz na mi
Mi na mapoz na mimi
Mapoz na mi
Mi na mapoz na mimi
Mapoz na mi
Mapoz na mi
Mapozi nami, mi na mapozi nami
Mapozi nami, mi na mapozi nami
Mapozi nami, mi na mapozi nami
(Mmmh)
Mapozi nami, mi na mapozi nami
[Verse 2: Diamond Platnumz]
Na sio ndumba wala
Raha tu zimenizidi
Sio mambo ya mitaala
Penzi mwenyewe nafaidi
Nakumbatwa kwa baridi
Usinione nna ng’ara
Natunzwa al habibi
Oh, oh
Matikiti kudondoka
Matikiti kudondokea
Marafiki huwa ni nyoka
Hivyo chunga wanayo ongea
Nikande, kande nikichooka
Sio narudi unanifokea
Huenda mwenzio niliko toka
Mambo fyongo hayajaninyookea
[Bridge: Diamond Platnumz]
Tamu pipi ya kijiti (Anhaa)
Ukilamba unacheka
Na kibaridi hiki
Niozesheni hata ndoa ya mkeka
Penzi halishikiki (Anhaa)
Linavyo tetemesha jamani
Si tufunge muziki
Nikuonyeshe jinsi ninavyo cheza
[Chorus: Diamond Platnumz & Mr.Blue]
Mi na mapoz na mimi
Mapoz na mi
Mi na mapoz na mimi
Mapoz na mi
Mi na mapoz na mimi
Mapoz na mi
Mi na mapoz na mimi
Mapoz na mi
Mapoz na mi
Na mi
Mapoz na mi
Mapoz na mi
Let's go, Bizzy Babylon
Mapoz na mi
Mapoz na mi
Yente
[Verse 3: Mr. Blue]
Ngoja, huu ni usiku au mchana?
Hold up, hii ni leo au ni jana?
Mapozi na mi
Uh
Unanikumbusha ujana
(Ujana)
Roho unavyo irusha nitakuja kufa, msichana
Nimepagawa uwanjani, na sijui ngapi, ngapi
Refa ni nani?
Mbona mpira hauji kati?
Nichague kijani, yellow au purple?
Au nije muda gani?
Ili niende na wakati
Unawakanya mabishoo
Kitandani unanipa show
Mpaka nasahau Show
(Ah, wee!)
Ah, unanichanganya kwenye roho
Usije kunidanganya, no
Weka penzi, nieke dough
(Ah, wee!)
[Bridge: Mr. Blue]
Mi na mapoz na mimi
Mapoz na mi
Mi na mapoz na mimi
Mapoz na mi
Mi na mapoz na mimi
Mapoz na mi
Mi na mapoz na mimi
Mapoz na mi
[Chorus: Diamond Platnumz]
Mi na mapoz na mimi
Mapoz na mi
Mi na mapoz na mimi
Mapoz na mi
Mi na mapoz na mimi
Mapoz na mi
Mi na mapoz na mimi
Mapoz na mi
[Outro: Diamond Platnumz]
Eyo, zombie
What it do? He-he
We back
Number moja, moja, moja, moja
Hi ni sauti ya Rais
Yaani President, ha
Haujui

About “Mapoz” by Diamond Platnumz

Read the complete lyrics to "Mapoz" by Diamond Platnumz in 2024. On Lyrks you can follow along with the full text, explore the artist's discography, and discover related songs. The track is often categorized under Swahili, Bongo Flava, Tanzania.

"Mapoz" is performed by Diamond Platnumz. in 2024 This page provides the full lyric text for fans who want to sing along, study the songwriting, or compare versions across releases. Lyrks organizes lyrics by artist and song slug so you can bookmark and share a stable URL. Music lyrics help listeners connect with emotion, narrative, and rhythm in a track. Whether you are learning English, researching a favorite chorus, or preparing for karaoke, having accurate line breaks and section labels (verse, chorus, bridge) makes the experience easier. We link to the official artist profile on Lyrks where available, including biography snippets, top songs, and chart placements when we have that data. If you enjoy "Mapoz", explore more songs by Diamond Platnumz using the links below. Chart and trending pages on Lyrks highlight what listeners are searching for this week. For copyright or correction requests, see our DMCA and contact pages.

View all songs and biography for Diamond Platnumz · Trending lyrics · Billboard Hot 100

Frequently asked questions

"Mapoz" is credited to Diamond Platnumz. Songwriting credits may include additional writers listed on the release; check the credits section on this page for linked collaborators.

Album information for "Mapoz" is not available in our database yet. You can still read the full lyrics on this page.

Visit the Diamond Platnumz artist page at /artist/diamond-platnumz for biography, popular tracks, and links to more lyric pages.