Lyrks
Lyrks
Cover Art

Party la leo Lyrics by Mr Joel Joseph

2023

Usiku wa leo masela tupo ndani ya party
Wote tunaruka tunadance na ma-shawty eeh eeh
Eeh eeeh wote tumebling eeh eeh
Dance kwenye flow and dancing ohhh
Kata kati ooh , Please weka mikono hewaaani, eeh eeeh

Usiku wa leo ndani ya party si mchezo, pilipili kibao lazima kuna mauzo
Hapo nimekubali kwa wengi itakuwa gumzo
Hey Mr. Dj embu shusha mijazo, Iliyokwenda shule kwetu iwe ni funzo
Ruka ruka dance tufurahi kwa pamoja,Sijaona mi sababu ya we kungoja
Embu nipe raha , nijidai , nifurahi,Ikiwezekana basi wote tujidai
Hii nafasi yangu mimi mwenyewe tu,Na sintomind kuona hapo mtu
Mum nipe raha tushangaze hawa watu, Cheki masister du ndani ya bli walivyoshine

Hapa hakuna juice watoto wote ni wine, simu zote mezani hakuna kwenda hewani,Waliovaa kanga naomba watupe chini,Hili ni night party na hatupo msibani
Embu mcheki sister mwenye kitopu white,Kweli nimekubali anakwenda na wakati
Amekatika kati mpaka kashusha sketi
Mwanadamu hamu sina hamu wafahamu
Najiepusha sana na matendo haramu,Chunga sana mah hapa kuna HIV,we ukichoka basi macho kwenye tv au ushike MIC,Kuliko ule raha na wale ma VIP,Heri tu uje tubanane na mimi Structure P


Usiku wa leo masela tupo ndani ya party
Wote tunaruka tunadance na ma-shawty eeh eeh
Eeh eeeh wote tumebling eeh eeh
Dance kwenye flow and dancing ohhh
Kata kati ooh , Please weka mikono hewaaani, eeh eeeh


Pata taswira kali pitia yangu mashairi,muda mfupi ujao utapata jibu kamili
Hutakiwi kuwa lonely ukajapigwa magoli, no time to watse fungua yako akili,Tafuta zako pene kisha nyingi uzichange, Jiweke sop kimwili, kila upande,Andaa zako bling upte wakuite King , na masister duu mapozi waitwe queen yeah, Uzivae zikukae, fresh kwako mwilini
Piga full white simu sikioni una chat,Muda ukifika usiku wa leo upo fiti, Tujidai tufurahi milupo kwanza baadae, ach babaika kacheze na umpende, hapa Niz b utanikuta niko bling

Hapa bling bling toka juu mpaka chini, kwa monekano hii party itakuwa makini, msister duu mabrother men ndo usiseme, yani usiku wa leo upo full usipime, kwenye sekta ya vinywaji eeh bana kila kitu ni shwari, kila kitu kipo yani mpaka pombe kali, wapenda ulabu sekta yenu haina tabu, ukikosa babu yani itakuwa aibu,Bora uwahi kuna muda wa dinner,yani usiku wa leo usikose fanya him,ni part ya kistaarbu ya kupata ulabu, ni eddy G usiku wa leo nipo Club


Hatiyani kurupushani zako, sasa nimekubali na nimevuta picha karibu mfasili,nimemix sana misemo na methali,kweli hili ni bonge la party si mchezo, watu wanavyoshake embu mcheki Nizo, hivi hujaamini kama kweli hili gumzo?, basi nipe raha nile raha kwa furaha isijekuwa bala mwishoni ikawa karaha, Hivi ni nini unachotathmini, kichwani akilini
Pand jukwaani utupe tafrani makini kwa yakini, walakini no mi nasema nooo, Au kama unabisha embu sikia michano, leta migongano, wala si malumbano, hili ni fataki kimantiki maah, ndo mana sihikiki sitamaniki mah

About “Party la leo” by Mr Joel Joseph

Read the complete lyrics to "Party la leo" by Mr Joel Joseph in 2023. On Lyrks you can follow along with the full text, explore the artist's discography, and discover related songs. The track is often categorized under Pop.

"Party la leo" is performed by Mr Joel Joseph. in 2023 This page provides the full lyric text for fans who want to sing along, study the songwriting, or compare versions across releases. Lyrks organizes lyrics by artist and song slug so you can bookmark and share a stable URL. Music lyrics help listeners connect with emotion, narrative, and rhythm in a track. Whether you are learning English, researching a favorite chorus, or preparing for karaoke, having accurate line breaks and section labels (verse, chorus, bridge) makes the experience easier. We link to the official artist profile on Lyrks where available, including biography snippets, top songs, and chart placements when we have that data. If you enjoy "Party la leo", explore more songs by Mr Joel Joseph using the links below. Chart and trending pages on Lyrks highlight what listeners are searching for this week. For copyright or correction requests, see our DMCA and contact pages.

View all songs and biography for Mr Joel Joseph · Trending lyrics · Billboard Hot 100

Frequently asked questions

"Party la leo" is credited to Mr Joel Joseph. Songwriting credits may include additional writers listed on the release; check the credits section on this page for linked collaborators.

Album information for "Party la leo" is not available in our database yet. You can still read the full lyrics on this page.

Visit the Mr Joel Joseph artist page at /artist/mr-joel-joseph for biography, popular tracks, and links to more lyric pages.


Lyrks
Lyrks

Your gateway to the world of music lyrics.

Product

Features


© 2026 Lyrks. All rights reserved.