Lyrks
Lyrks
Lyrks
Cover Art

Genius Lyrics by Navie1

0

[Chorus]
Cnaga ujinga ujinga, mi ni zaidi ya better (better better)
Malengo yamekithiri, i'm a go getter (Pyu Go)
Nko united nami zaidi ya Manchenster (Yeaaah)
Nachoose left sio right (naaah)
Mi ni black sio white nigga (whooh whooh)
Genius (G G)
Genius (Go)
I'm a genius (Wooh wait)
Genius (Brr brr brr)
Genius (Yeah)
Mi ni genius (Eh eh ey)
Genius (Wooh)
Nite genius (He he hey)
[Verse: 1]
Nataka respect on my name
Nataka enemies zaidi ya friends
Simba nataka ntoke kwenye cage
Nataka tuwe kwenye same page (pa pa page)
Ah wait
Nataka muelewe black sio slave
Kipimo utu uzima wala sio ndevu
Kucheza nami unajichimbia grave (look)
I'm a star (twinkle twinkle)
Sote ni mastar (yeah)
Tunashine popote kambi, they know who we are (they know)
Just a matter of time my momma ntampa a brand new car (vh vhuum)
Naivalue akili vyema mfano ni ya ghali bidhaa (skrr skrr)
Unataka tip (tip)
Njoo nkudokeze a tip (come on)
Kwa hustle nazamaga deep (deep)
Ni double R never jeeps (Royce)
Kivipi unapataga sleep (yeah)
Sicall back ukibeep (Noo)
Kwanini njifanye so cheap (skr)
Wakati mipango legit (legit legit)
Kwa mishe mishe sioni red light
Kila night kwangu fight night
Sina uponzani na watu mpinzani ni mimi na mimi kitataa (G g g)
Na kitu pekee kinamatter ni mi kuongoza nyi mkafata kidingi kitataa
Yeah
[Chorus]
Cnaga ujinga ujinga, mi ni zaidi ya better (better better)
Malengo yamekithiri, i'm a go getter (Pyu Go)
Nko united nami zaidi ya Manchenster (Yeaaah)
Nachoose left sio right (naaah)
Mi ni black sio white nigga (whooh whooh)
Genius (G G)
Genius (Go)
I'm a genius (Wooh wait)
Genius (Brr brr brr)
Genius (Yeah)
Mi ni genius (Eh eh ey)
Genius (Wooh)
Nite genius (He he hey)
[Verse: 2]
Kupanga mipango ni 24/7
Man power yako zidisha kwa eleven
Hii ndo namna inafunguka hiyo heaven
Hii ndo namna unaweza solve yako problem
Motivation dawa nameza daily
Hip hop, bongo flava ama kisingeli
Kaa kwenye mstari usitoke kwa reli
Elewa utafika mbali we ukifeli
Elewa utafika mbali we ukifall
Kwenye mitikisiko stand tall
Train uwe master lao overall
Never usichoke saka saka more
Usichoke simama kwa ten toes
Pale kwa hard work overdose
Kizazi ka mimi never never stop
Pale kwa hard work overdose
Sina habari baba linyama toka msituni (whooh hey)
Nishachukizwa wasojiweza tupa kapuni (trash trash)
Macho ni low low uwezo umezidi japo sivumi (why)
No new fellas hapa only new girls niggah hakuna vikatuni (Tom and Jerry)
Nina maono naweza ona naweza kwenda naweza rudi naweza shika naweza acha naweza pita naweza jita king wa nyika no no kusita
Mi mi ni money mi ni kazi mi ni ajira mi thamani mi tajiri mi ni Peter we ni Yuda we ni nyoka we ni nyumba ilokosa matunzo
[Chorus]
Cnaga ujinga ujinga, mi ni zaidi ya better (better better)
Malengo yamekithiri, i'm a go getter (Pyu Go)
Nko united nami zaidi ya Manchenster (Yeaaah)
Nachoose left sio right (naaah)
Mi ni black sio white nigga (whooh whooh)
Genius (G G)
Genius (Go)
I'm a genius (Wooh wait)
Genius (Brr brr brr)
Genius (Yeah)
Mi ni genius (Eh eh ey)
Genius (Wooh)
Nite genius (He he hey)
Credits

About “Genius” by Navie1

Read the complete lyrics to "Genius" by Navie1. On Lyrks you can follow along with the full text, explore the artist's discography, and discover related songs. The track is often categorized under Rap.

"Genius" is performed by Navie1. This page provides the full lyric text for fans who want to sing along, study the songwriting, or compare versions across releases. Lyrks organizes lyrics by artist and song slug so you can bookmark and share a stable URL. Music lyrics help listeners connect with emotion, narrative, and rhythm in a track. Whether you are learning English, researching a favorite chorus, or preparing for karaoke, having accurate line breaks and section labels (verse, chorus, bridge) makes the experience easier. We link to the official artist profile on Lyrks where available, including biography snippets, top songs, and chart placements when we have that data. If you enjoy "Genius", explore more songs by Navie1 using the links below. Chart and trending pages on Lyrks highlight what listeners are searching for this week. For copyright or correction requests, see our DMCA and contact pages.

View all songs and biography for Navie1 · Trending lyrics · Billboard Hot 100

Frequently asked questions

"Genius" is credited to Navie1. Songwriting credits may include additional writers listed on the release; check the credits section on this page for linked collaborators.

Album information for "Genius" is not available in our database yet. You can still read the full lyrics on this page.

Visit the Navie1 artist page at /artist/navie1 for biography, popular tracks, and links to more lyric pages.