Niliyesimama mbele yenu sio mbunge ni msanii Natumia sanaa kuitetea jamii Naongea nikiwa Bongo sitakimbia kama Roma Mkiniteka mkinifunga bado dunia itasonga Nani kamwambia mheshimiwa eti tumekubali tozo Hapana sio Tanzania labda Zambia au Congo Makato ni makubwa wananchi wanaumia Hivi ni kwamba hamskii au ndo mnapuuzia? Mishahara ya wabunge ni jasho la wananchi Spika naongea na wewe kwa niaba ya wenye nchi Kuna wabunge kumi na tisa walishafukuzwa na chama Chadema ina maana hawana chama Na bado nao bungeni na wanapokea mshahara Hivi unatuchukulia aje unatuona bongolala? Wimbo ulianza taratibu na sasa umepamba moto Unapendwa na wananchi kwa viongozi kaa la moto Katiba mpya ni sasa, katiba mpya ni sasa Wanaoimba ni wananchi pamoja na wanasiasa Mafuta bei juu, gesi bei juu Kila kitu bei juu, mtatuua mwaka huu Sukari imepanda bei Luku tozo pesa wapi nitakope? Nani atusemee, semee sisi wanyonge Wacha niwasemee Nani atusemee, semee sisi wanyonge Rais wa Kitaa Sukari imepanda bei Luku tozo pеsa wapi nitakope? Shebi huku miriamu wameikataa Chombo mikokotе Nani atusemee, semee sisi wanyonge Ni Rais wa Kitaa Nani atusemee, semee sisi wanyonge Tusijiite wanyonge hapana nakataa Mi ni mmoja kati waliosema unaupiga mwingi Nahisi una makocha wengi watakukosesha vingi Nilikwambia hawakupendi wameshakuingiza kingi Wanakitaka hicho kiti wana tamaa hao madingi Hey wapi na wapi? Nchi ya wapi? Mpangaji analipa kodi na tozo ya jengo Huu ni wizi na mnaiba bila kutumia akili Hivi nani anawashauri, mnajichimbia kaburi Uchumi hukua kwenyu kwa wananchi sufuri Siku hazigandi ni swala tu la muda Acha iendelee kunyesha tuone panapo vuja Oyaa wanangu wee, Corona kweli ipo Nawa mikono vaa barakoa kwenye mkusanyiko Nchi na mambo hii yataka moyo kuwa mpinzani Yaani unabambikiwa kesi na unasota gerezani Mnajenga mimba za chuku hamjifunzi kwa majirani Mbunge lenyewe chama kimoja si mfute tu upinzani Mbaki wenyewe tusitafute mchawi nani? Sukari imepanda bei Luku tozo pesa wapi nitakope? Nani atusemee, semee sisi wanyonge Wacha niwasemee Nani atusemee, semee sisi wanyonge Rais wa Kitaa Sukari imepanda bei Luku tozo pesa wapi nitakope? Shebi huku miriamu wameikataa Chombo mikokote Nani atusemee, semee sisi wanyonge Nani atusemee, semee sisi wanyonge Hii ni tozo babu kubwa, babu kubwa Au sio wanangu sema babu kubwa 'Tozo babu kubwa' Hii ni tozo babu kubwa, babu kubwa Au sio wanangu sema babu kubwa 'Tozo babu kubwa'
Read the complete lyrics to "Rais wa Kitaa" by Nay Wa Mitego. On Lyrks you can follow along with the full text, explore the artist's discography, and discover related songs. The track is often categorized under Pop.
"Rais wa Kitaa" is performed by Nay Wa Mitego. This page provides the full lyric text for fans who want to sing along, study the songwriting, or compare versions across releases. Lyrks organizes lyrics by artist and song slug so you can bookmark and share a stable URL.
Music lyrics help listeners connect with emotion, narrative, and rhythm in a track. Whether you are learning English, researching a favorite chorus, or preparing for karaoke, having accurate line breaks and section labels (verse, chorus, bridge) makes the experience easier. We link to the official artist profile on Lyrks where available, including biography snippets, top songs, and chart placements when we have that data.
If you enjoy "Rais wa Kitaa", explore more songs by Nay Wa Mitego using the links below. Chart and trending pages on Lyrks highlight what listeners are searching for this week. For copyright or correction requests, see our DMCA and contact pages.
"Rais wa Kitaa" is credited to Nay Wa Mitego. Songwriting credits may include additional writers listed on the release; check the credits section on this page for linked collaborators.
Album information for "Rais wa Kitaa" is not available in our database yet. You can still read the full lyrics on this page.
Visit the Nay Wa Mitego artist page at /artist/nay-wa-mitego for biography, popular tracks, and links to more lyric pages.