Lyrks
Lyrks
Lyrks
Cover Art

Kipetero Kiyesu Lyrics by Femi One

0

"Alikuja akanipush akanipush
Hadi nikaona acha niende ni-
Niget tu ball yake
Sa kuget ball ati nimeshakuja
Nimemwambia niko na ball
Huyo boy nakwambia aliniruka
Kipetero Kiyesu"
Chali ngori anadai wachana na party cup
Told me that nitakaa supuu with a baby girl
So nikajipa na mimba akanipachika
Kisha akanituka Kipetero Kiyesu
Sa nikipiga namba mteja hapatikani
Utadhani high jump na yeye olympian
Nikiwa napanga kumuonyesha kwetu
Aliniruka tu kipetero Kiyesu
Naishi pale Kasa na hawa mapacha
5 years bila the dad na sijamhata
Wakivunja kitu niulize nani anachapwa
Wanarukana tu kipetero kiyesu
Refa (Referee) Refa (Ona referee)
Ona vile tunachezwa, vile tunabebwa
Refa (Referee) Rеfa (Ona referee)
Ona vile tunachеzwa, kipetero kiyesu
Wakaapa wakishapata mamlaka
Mahitaji wananchi watapata
Waliposhinda ni scandal juu ya sakata
Ruka mwananchi kipetero kiyesu
Waliungana ati hiki chama chetu
Ndio tutatumia kujenga taifa letu
Lakini siasa si watu nyemelea tu
Kisha kurukana kipetero kiyesu
Wakirudi huku tena piga debe
Tunawapea mizigo zote wabebe
Watazilipa hata madeni kwa pede
Kwa ballot twarukwa kipetero kiyesu
Refa (Referee) Refa (Ona referee)
Ona vile tunachezwa, vile tunabebwa
Refa (Referee) Refa (Ona referee)
Ona vile tunachezwa, kipetero kiyesu
Athletes hujidai wazalendo
Kataa kuchange citizenship kuget doh
Lakini juu ya hii siasa na magendo
Wanatokwa tu kipetero kiyesu
Wasanii wanamake ngoma na bidii
Toka manewcomer mpaka wenye jina biggy
Ngoma ikiblow unadhani pesa ni mingi
MCSK ni ka Petero kwa Yesu
Mcees hutaka collabo na picha
Wanabatizwa wanaoshwa wanafichwa
Wakiambiwa Femi One alikuzika
Wanakanaga tu kipetero kiyesu
Refa (Referee) Refa (Ona referee)
Ona vile tunachezwa, vile tunabebwa
Refa (Referee) Refa (Ona referee)
Ona vile tunachezwa, kipetero kiyesu
Refa (Referee) Refa (Ona referee)
Ona vile tunachezwa, vile tunabebwa
Refa (Referee) Refa (Ona referee)
Ona vile tunachezwa, kipetero kiyesu
I'm in trouble, I'm in trouble
Beth rack on the door
Credits

About “Kipetero Kiyesu” by Femi One

Read the complete lyrics to "Kipetero Kiyesu" by Femi One. On Lyrks you can follow along with the full text, explore the artist's discography, and discover related songs. The track is often categorized under Pop.

"Kipetero Kiyesu" is performed by Femi One. This page provides the full lyric text for fans who want to sing along, study the songwriting, or compare versions across releases. Lyrks organizes lyrics by artist and song slug so you can bookmark and share a stable URL. Music lyrics help listeners connect with emotion, narrative, and rhythm in a track. Whether you are learning English, researching a favorite chorus, or preparing for karaoke, having accurate line breaks and section labels (verse, chorus, bridge) makes the experience easier. We link to the official artist profile on Lyrks where available, including biography snippets, top songs, and chart placements when we have that data. If you enjoy "Kipetero Kiyesu", explore more songs by Femi One using the links below. Chart and trending pages on Lyrks highlight what listeners are searching for this week. For copyright or correction requests, see our DMCA and contact pages.

View all songs and biography for Femi One · Trending lyrics · Billboard Hot 100

Frequently asked questions

"Kipetero Kiyesu" is credited to Femi One. Songwriting credits may include additional writers listed on the release; check the credits section on this page for linked collaborators.

Album information for "Kipetero Kiyesu" is not available in our database yet. You can still read the full lyrics on this page.

Visit the Femi One artist page at /artist/femi-one for biography, popular tracks, and links to more lyric pages.