Lyrks
Lyrks
Sign In
Cover Art

Malipo Lyrics by Otile Brown

2023

(verse 1)
Ujumbe nimeusoma
Na salamu nimezipokea
Nami mzima wa afya nashukuru
Ila hali bado ngumu
Lakini bado sija kata tamaa
Kwenye juhudi na ndoto zangu
Ulio dai kuwa ndogo
Nimekubali matokeo
Na naelewa sababu zako za kuniacha
Kwa hilo sita kuhukumu
Kinachoniuma
Kutoka na rafiki wangu wa dhati
Kunidharau na kunidhihaki wewe
Kinachoniuma
Hivi mmenicheati mara ngapi
Mbele ya macho yangu bila kujua

(chorus)
Malii malipo
Ni hapa hapa duniani
Sikuombei mabaya
Ila nakuchukia
Malii malipo
Ni hapa hapa duniani
Sikuombei mabaya
Ila nakuchukia

(verse 2)
Umasikia wangu unaniponzaa
Hewalah!
Oh ooh
Na ukitaka kujua jinsi gani nakuchukia
Nimesahau jina lako...
Sikumbuki Mie !
Oh ooh
Na ukitaka kujua jinsi gani nakuchukia
Nisha sahau ata sura yako
Jaraha ulinioachia mi sidhani Ka nitapenda tena
Umenivuruga mama , umenivuruga
Jaraha ulinioachia mi sidhani Ka nitapenda tena
Umenivuruga
Kinacho niuma kutoka rafiki wangu wa dhati
Kunidharau na kunidhihaki we!
Oh ooh
Kinachoniuma
Hivi mmeni cheati mara ngapi
Mbele ya macho yangu bila kujua

(chorus)
Malii malipo
Ni hapa hapa duniani
Sikuombei mabaya
Ila nakuchukia
Malii malipo
Ni hapa hapa duniani
Sikuombei mabaya
Ila nakuchukia

About “Malipo” by Otile Brown

Read the complete lyrics to "Malipo" by Otile Brown in 2023. On Lyrks you can follow along with the full text, explore the artist's discography, and discover related songs. The track is often categorized under Pop.

"Malipo" is performed by Otile Brown. in 2023 This page provides the full lyric text for fans who want to sing along, study the songwriting, or compare versions across releases. Lyrks organizes lyrics by artist and song slug so you can bookmark and share a stable URL. Music lyrics help listeners connect with emotion, narrative, and rhythm in a track. Whether you are learning English, researching a favorite chorus, or preparing for karaoke, having accurate line breaks and section labels (verse, chorus, bridge) makes the experience easier. We link to the official artist profile on Lyrks where available, including biography snippets, top songs, and chart placements when we have that data. If you enjoy "Malipo", explore more songs by Otile Brown using the links below. Chart and trending pages on Lyrks highlight what listeners are searching for this week. For copyright or correction requests, see our DMCA and contact pages.

View all songs and biography for Otile Brown · Trending lyrics · Billboard Hot 100

Frequently asked questions

"Malipo" is credited to Otile Brown. Songwriting credits may include additional writers listed on the release; check the credits section on this page for linked collaborators.

Album information for "Malipo" is not available in our database yet. You can still read the full lyrics on this page.

Visit the Otile Brown artist page at /artist/otile-brown for biography, popular tracks, and links to more lyric pages.


Lyrks
Lyrks

Your gateway to the world of music lyrics.

Product

Features


© 2026 Lyrks. All rights reserved.