[Verse I: Rapcha] Uh hebu tazameni Matendo ya Mungu yanavyotisha Amefanya mengi makubwa ya kustaajabisha Marafiki leo wana upendo kesho umekwisha Ila upendo wa Mungu hauwezi kwisha Naamini neno lako linaishi forever Utendawazi hauwezi kubadili Dhambi ikawa haki, Never! Umenifikisha sehemu ambazo Wala sikuwahi kuzifikiria Sifa zako nitazihadithia Unaniepusha na maadui Unanilinda na mabaya Ambayo hata siyatambui Mungu uliye hai Hata mimba zilizotokea Kwenye mazingira ya dhambi Watoto umewapa uhai Na kama pumzi unanipa bure Sasa kivipi tamaa ya pesa initenge na wewe Nashukuru kwa kunileta hii sayari Milele nitakuamini Mungu wa kweli AMINA [Chorus: Lady Jay Dee] Amen Baba, Amen Upendo wako, huruma yako Amen Wema wako utukufu wako, Amen Amen Baba, Amen [Bridge: Lady Jay Dee] Umenipa maarifa, umenipa uhai, umenipa mali Hata nacho kipaji siwezi sema sijaridhika Umenipa kile ulichonipa, hukunitupa Nami sitakijuta Baba, nasema AMEN [verse II: Rapcha] Glory to God, utajiri mkubwa ni furaha Mungu anaweza kubariki mpaka ukashangaa Niwapo kwenye njaa nikumbushe kwamba Ndege hawalimi, hawavuni ila hawakosi chochote Nilipotoka usiache nikumbusha Nipe hekima nisitamani magari Nisiyoweza kuyaendesha Niishi kwenye ukweli nidumu Maana uwongo hauishi milele Na unaua faster kuliko sumu Pia asante kwa kunipa bidii Napokuomba haujibu haraka Unajibu wakati sahihi Una hekima inayoshangaza dunia Watu hata tungombane vipi Tunashare mvua na jua Nilijalie nisilewe sifa Nikumbuke siku za uhai wangu zinahesabika Hivyo nikuabudu nikiwa kijana Nawe utaniweka juu kwa baraka leo zaidi ya jana [Chorus: Lady Jay Dee] Amen Baba, Amen Upendo wako, huruma yako Amen Wema wako utukufu wako, Amen Amen Baba, Amen Copyrights: Bongo Records Tanzania
Read the complete lyrics to "Amen" by Rapcha in 2020. On Lyrks you can follow along with the full text, explore the artist's discography, and discover related songs. The track is often categorized under Rap.
"Amen" is performed by Rapcha. in 2020 This page provides the full lyric text for fans who want to sing along, study the songwriting, or compare versions across releases. Lyrks organizes lyrics by artist and song slug so you can bookmark and share a stable URL.
Music lyrics help listeners connect with emotion, narrative, and rhythm in a track. Whether you are learning English, researching a favorite chorus, or preparing for karaoke, having accurate line breaks and section labels (verse, chorus, bridge) makes the experience easier. We link to the official artist profile on Lyrks where available, including biography snippets, top songs, and chart placements when we have that data.
If you enjoy "Amen", explore more songs by Rapcha using the links below. Chart and trending pages on Lyrks highlight what listeners are searching for this week. For copyright or correction requests, see our DMCA and contact pages.
"Amen" is credited to Rapcha. Songwriting credits may include additional writers listed on the release; check the credits section on this page for linked collaborators.
Album information for "Amen" is not available in our database yet. You can still read the full lyrics on this page.
Visit the Rapcha artist page at /artist/rapcha for biography, popular tracks, and links to more lyric pages.