Lyrks
Lyrks
Lyrks
Cover Art

Babilon Lyrics by Rich Mavoko

0

Natoka Bongo wala si Congo
Mida ya fisi na maza tunauza gongo
Life ulufombo, watu wana nyongo
Upate kitu kidogo upigwe dongo
Usije fosi battle mi ni business man
Utacheza mdaku ka utashindwa shine(Yeah yeah yeah)
Wanaishi Babilon system
Jifanye huna nguvu ugawe wazi
Wanasema kelele
Mwenzake chura
Ukijaribu kufosi kingi
Utanyimwa hadi kura
Mwanangu we ukitoka usirudi
Fanya tu tupate dishi tuishi gudi
Watakupa maseke kusudi
Ili tu wakutoe kwenye mudi
Kila sehemu nayatimba
Wahusika wanajificha
Masnichi wanazima taa
Nikiwa ndani na manigga
Wamambwiga, walofika
So lazima watashangaa
Na wanangu wewe(wewe)
Wewe(wewe) Wewe(wewe) Wewе
Na wachumba wewe(wewе)
Wewe(wewe) Wewe(wewe) Wewe
Come here and see
Wakati nacho fanya ni lazima kihit
Come here, come here, come here and see
Wakati nacho fanya ni lazima kihit
Kwetu hatuwezi
Kuvumilia ngumi na panga mkononi
Ukielekeza mapenzi
Utakwanguliwa uwe bwege mtozeni
Kinja kinja nachinja
Usije ukayumba
Kama unakuja na dinga
Nifiche kwenye jumba
Ya kwanza mi nikipata eeh
Nikipata eeh(Wahuni tu nimwage)
Na nyumbani kwa maza eeh
Kwa maza eeh(Lazima nizimwage)
Mwanangu we ukitoka usirudi
Fanya tu tupate dishi tuishi gudi
Watakupa maseke kusudi
Ili tu wakutoe kwenye mudi
Kila sehemu nayatimba
Wahusika wanajificha
Masnichi wanazima taa
Nikiwa ndani na manigga
Wamambwiga, walofika
So lazima watashangaa
Na wanangu wewe(wewe)
Wewe(wewe) Wewe(wewe) Wewe
Na wachumba wewe(wewe)
Wewe(wewe) Wewe(wewe) Wewe
Natoka Bongo 255
Tafuta kazi hiyo si kazi wewe

About “Babilon” by Rich Mavoko

Read the complete lyrics to "Babilon" by Rich Mavoko. On Lyrks you can follow along with the full text, explore the artist's discography, and discover related songs. The track is often categorized under Pop.

"Babilon" is performed by Rich Mavoko. This page provides the full lyric text for fans who want to sing along, study the songwriting, or compare versions across releases. Lyrks organizes lyrics by artist and song slug so you can bookmark and share a stable URL. Music lyrics help listeners connect with emotion, narrative, and rhythm in a track. Whether you are learning English, researching a favorite chorus, or preparing for karaoke, having accurate line breaks and section labels (verse, chorus, bridge) makes the experience easier. We link to the official artist profile on Lyrks where available, including biography snippets, top songs, and chart placements when we have that data. If you enjoy "Babilon", explore more songs by Rich Mavoko using the links below. Chart and trending pages on Lyrks highlight what listeners are searching for this week. For copyright or correction requests, see our DMCA and contact pages.

View all songs and biography for Rich Mavoko · Trending lyrics · Billboard Hot 100

Frequently asked questions

"Babilon" is credited to Rich Mavoko. Songwriting credits may include additional writers listed on the release; check the credits section on this page for linked collaborators.

Album information for "Babilon" is not available in our database yet. You can still read the full lyrics on this page.

Visit the Rich Mavoko artist page at /artist/rich-mavoko for biography, popular tracks, and links to more lyric pages.