Lyrks
Lyrks
Lyrks
Cover Art

Maandishi Kwenye Ukuta Lyrics by Vioxii

Maktaba Ya Mitaa (Street Library)

2016

[Intro: Ann Peebles] (Extract)
You see, the hand writing is on the wall
I just looked up, and read it all
You're getting ready to call it off
The handwriting is on the wall
The handwriting is sure on the wall
[Verse 1: Vioxii]
Yooh! aah! yeah! Vioxii
Waandishi wamekubali, ila maandishi yamekataa
Basha mitaki maandishi ya mwandishi mwenye njaa
Chanzo cha balaa sio uwanzilishi wa sanaa
Ni uwadilifu wana kalaya waandishi kwa hii sanaa
Jamii inapotoshwa na waandishi wenye tamaa
Skiza radio utashangaa
Vipi sito-dishi na mpishi kisha dua
Kisiki kizingiti na mziki zimebung'aa
Maandishi ndio zile siri serikali inatuficha
Maandishi ndio dini Bible, Koran inafundisha
Maandishi ni sheria, kwa msingi wa katiba kuu mwanalisha mwanasiasa mahali ya uma hadharani kuiba
Maandishi ni elimu tena maandishi ni ujinga
Maandishi ni tiba na vile vile pia ni kinga
Maandishi ndio ujumbe ambao maskini anakosa
Tena maandishi ni silaha ya matajiri ndiposa
Waandishi washakubali kihekima wamepofuka
[Hook: Vioxii]
Kwa magazeti na radio
Ni maandishi kwenye ukuta
Kwa mitandao na runinga
Ni maandishi kwenye ukuta
Kwa Bibilia na kuran
Ni maandishi kwenye ukuta
Unachukia nini wewe?
Ni maandishi kwenye ukuta
Katiba ya hii inchi
Ni maandishi kwenye ukuta
Unachopitia kila siku
Ni maandishi kwenye ukuta
Unyanyasaji na dhulma
Ni maandishi kwenye ukuta
Maaktaba ya mitaa
Ni maandishi kwenye ukuta
[Verse 2: Trabolee]
Shamba ni la wanyama wacha tulime
Ujumbe ndio jembe msela usipime
Time ina-fly na mimi nadai kuwa light I can't carry the luggage
Kwa barabara ya life unaeza poteza drive, so wacha thoughts zi run maliza mileage
Tra where you at?, am trapped between a bottle of rhyme na holy passage
Still I wanna reach you all like a righteous killing
So kwa hizi bars na wrestle na spirits
Waliniambia God is love lakini kaa Jacob I still fight the feeling
Na hitaji paint ndio ni paint graphic
Am running sane kabla wani-chain nafsi
Keep the pis' tucked tightly in your soul
Niko na split psyche na nyufa zangu si zizibi juu nataka u-crack this code
Soma hand writing on the wall
(Una maandishi kwenye ukuta*x2)
[Hook: Vioxii]
Kwa magazeti na radio
Ni maandishi kwenye ukuta
Kwa mitandao na runinga
Ni maandishi kwenye ukuta
Kwa Bibilia na kuran
Ni maandishi kwenye ukuta
Unachukia nini wewe?
Ni maandishi kwenye ukuta
Katiba ya hii inchi
Ni maandishi kwenye ukuta
Unachopitia kila siku
Ni maandishi kwenye ukuta
Unyanyasaji na dhulma
Ni maandishi kwenye ukuta
Maaktaba ya mitaa
Ni maandishi kwenye ukuta
[Verse 3: Romi Swahili]
Tuki-recite maombi na creed is all fair kwa love na vita
Kwa life support overseas vision yako ina-recede
Another loss
Kwa ma-warlord another crumble ya cookie
Life yako ilitumika kaa fungu la kumi in the line of duty
Kuzuia Atlantis kuzama ukabeba weight ya silaha na lawama
Historia haina space ya ma-soldier hutumia life yao kulipia gharama
Ambia mama, atayarishe requiem nimepata salvation kwa revolver
Kwa hii dunia ya nuclear giants bado ni ma-ethical toddler
Wanacheza P.R formally
Kutumia journal za ma-journalist
Spirit drunk on formalin
Handshakes zikificha anomaly
Waki-occupy na kuu conquer, kuu ongeza reaper robota
Kwa ma-victim wa manslaughter family ziko awarded na dog tags
Kumbuka tuki-unda fortress kutumia sticks na kokoto
Back then, it used to be all peace na bliss tukiwa watoto
Sahi tuna-feel pain yako, tuki-pass lighter sticks na misokoto
Wishing unge-cheki sign maybe ungehepa hio baptism ya moto
[Hook: Vioxii]
Kwa magazeti na radio
Ni maandishi kwenye ukuta
Kwa mitandao na runinga
Ni maandishi kwenye ukuta
Kwa Bibilia na kuran
Ni maandishi kwenye ukuta
Unachukia nini wewe?
Ni maandishi kwenye ukuta
Katiba ya hii inchi
Ni maandishi kwenye ukuta
Unachopitia kila siku
Ni maandishi kwenye ukuta
Unyanyasaji na dhulma
Ni maandishi kwenye ukuta
Maaktaba ya mitaa
Ni maandishi kwenye ukuta
[Ann Peebles;]
The hand writing is on the wall(while fading)
Credits

About “Maandishi Kwenye Ukuta” by Vioxii

Read the complete lyrics to "Maandishi Kwenye Ukuta" by Vioxii from the album "Maktaba Ya Mitaa (Street Library)" in 2016. On Lyrks you can follow along with the full text, explore the artist's discography, and discover related songs. The track is often categorized under Kenya, Rap.

"Maandishi Kwenye Ukuta" is performed by Vioxii. from the album "Maktaba Ya Mitaa (Street Library)" in 2016 This page provides the full lyric text for fans who want to sing along, study the songwriting, or compare versions across releases. Lyrks organizes lyrics by artist and song slug so you can bookmark and share a stable URL. Music lyrics help listeners connect with emotion, narrative, and rhythm in a track. Whether you are learning English, researching a favorite chorus, or preparing for karaoke, having accurate line breaks and section labels (verse, chorus, bridge) makes the experience easier. We link to the official artist profile on Lyrks where available, including biography snippets, top songs, and chart placements when we have that data. If you enjoy "Maandishi Kwenye Ukuta", explore more songs by Vioxii using the links below. Chart and trending pages on Lyrks highlight what listeners are searching for this week. For copyright or correction requests, see our DMCA and contact pages.

View all songs and biography for Vioxii · Trending lyrics · Billboard Hot 100

Frequently asked questions

"Maandishi Kwenye Ukuta" is credited to Vioxii. Songwriting credits may include additional writers listed on the release; check the credits section on this page for linked collaborators.

"Maandishi Kwenye Ukuta" appears on "Maktaba Ya Mitaa (Street Library)" in 2016.

Visit the Vioxii artist page at /artist/vioxii for biography, popular tracks, and links to more lyric pages.