Lyrks
Lyrks
Lyrks
Cover Art

Ola Lyrics by Salmin Swaggz

2018

[Intro]
Yeah yeah, I don't wanna be with you, no more
[Verse 1: Salmin Swaggz]
Listen baby I ain't trynna be crazy
Najua unapenda nyumba za masaki na mbezi
Najua unataka vingi kwangu zaidi ya mapenzi
Kwa maana hata ma-ex wamenizidi unyamwezi
Na siwezi kubishana nikaanza makuu tena
Hatuwezi kushindana ka ukianza kwa kunisema
Maneno yamenishinda umenioverdose
Au sababu siku hizi unawindwa na hao matoz
Maybe I'm so silly na makosa nimekiri
Mashoga zako ni dili ila kama utanifkiria pia
Kumbuka hili, mi na we tuko wawili
Mark X toleo la pili mwanao mi nimefulia so listen
[Chorus: Mimi Mars]
Ola, ola, ooh
Kama nakuona unavyonikosa
Ola, ola, ooh
Mapenzi ya maneno yamenichosha
Aka babu wee, aka babu wee
Aka babu wee, aka babu wee
[Verse 2: Salmin Swaggz]
So naweza sema, penzi limefanya niote mizizi
Na ukinuna tu unafanya niote kichizi
Haya mapenzi ya kifilipino siigizi
Mpaka mama anasema umenipa kizizi
Kwenye hii zizi
Mi nasema hamna Berna, hamna Wema nishafunga sioni tena
Na usiniache kwa sababu ya kipato
Siku utajua kwamba mi ndo wa ukweli kwako
Yeah, I'll be doing everything, yes
Sitaki hata kuchat na demu ukanipa kesi
Sitaki hata kusimama tu mahali itakua tetesi
Ntakuandikia nyimbo kali hata akina Cassper Nyovest watajua tu
[Chorus: Mimi Mars]
Ola, ola, ooh
Kama nakuona unavyonikosa
Ola, ola, ooh
Mapenzi ya maneno yamenichosha
Aka babu wee, aka babu wee
Aka babu wee, aka babu wee
[Bridge]
Nakumwaga, nakumimina
Wacha nivunje mifupa na meno bado ipo
Nakumwaga, nakumimina
[Chorus: Mimi Mars]
Ola, ola, ooh
Kama nakuona unavyonikosa
Ola, ola, ooh
Mapenzi ya maneno yamenichosha
Aka babu wee, aka babu wee
Aka babu wee, aka babu wee

About “Ola” by Salmin Swaggz

Read the complete lyrics to "Ola" by Salmin Swaggz in 2018. On Lyrks you can follow along with the full text, explore the artist's discography, and discover related songs. The track is often categorized under Swahili, Tanzania, Rap.

"Ola" is performed by Salmin Swaggz. in 2018 This page provides the full lyric text for fans who want to sing along, study the songwriting, or compare versions across releases. Lyrks organizes lyrics by artist and song slug so you can bookmark and share a stable URL. Music lyrics help listeners connect with emotion, narrative, and rhythm in a track. Whether you are learning English, researching a favorite chorus, or preparing for karaoke, having accurate line breaks and section labels (verse, chorus, bridge) makes the experience easier. We link to the official artist profile on Lyrks where available, including biography snippets, top songs, and chart placements when we have that data. If you enjoy "Ola", explore more songs by Salmin Swaggz using the links below. Chart and trending pages on Lyrks highlight what listeners are searching for this week. For copyright or correction requests, see our DMCA and contact pages.

View all songs and biography for Salmin Swaggz · Trending lyrics · Billboard Hot 100

Frequently asked questions

"Ola" is credited to Salmin Swaggz. Songwriting credits may include additional writers listed on the release; check the credits section on this page for linked collaborators.

Album information for "Ola" is not available in our database yet. You can still read the full lyrics on this page.

Visit the Salmin Swaggz artist page at /artist/salmin-swaggz for biography, popular tracks, and links to more lyric pages.