Lyrks
Lyrks
Lyrks
Cover Art

Natokea_mtaani Lyrics by Willer

2020

Intro
Yeah yeah yeah
Chorus
Nahaso mchana (mchana kutwa)
Usiku na'ball na wauni
Mademu wawili niko nao magetoni
Wanachezea mti kama Tarzan
Nakichafua kama Binladen
Kama snitch bora ukae mbali
Niggas know I make it happen
Shout-out my nigga Rayvany
Verse_1
Natokea mtaani na kuhusu mitaani hakuna ambacho skijui (hakuna)
Hatuishi kwa amani kila kukicha kukimbizana na mapai
Tunatokea ghetto kauka nkutinge T-SHIRT tatu trouser mbili (haaanh)
Hatulali tunapiga dili (yeah) tunataka kua matajiri
Majengo secondary nakutana na demu mkali anaitwa Mgeni (Madame)
Ana macho mazuri amejazia hatari af ni secretary
Akilizungusha hatari
Namuelewaga hatari
Skai kizembe na sinaga wenge
Niko fasta Kama Rari (skrr skrr)
Yeah' wanangu wanapiga dili wanao wanakaa kizembezembe
Madogo wanajikutaga ni wakali si tunawaona ka wa****e
Hawana chochote zaidi ya wenge
Wapo kama wanapigwa k***ndе
Wanangu ni Hush Puppies tunamove kimyakimya hatuna wapambe
Last king likе tiger
Pull up like alqaida
Smoke for lunch kamakawaida
Nyeus Kama sigida
24/7 nasaka Doo bro na bunduki ka ya Buda (ppao)
Umevaa ila hiyo chain fake bro unaonekana ka wakuja
Tunaish fasta Kama Lamborghini hatukai kiree
Na tunachotaka kufanya tunafanya saivi hatusubiri badae
Tunatokea mtaani Kama we ni waki atuhang na wee
Money before the deal unataka tupe dili hutaki jikatae
Verse_2
I do this shit for my niggas
Tunafos kila mida
Mtaani sio poa police wanaboa
Wanatutaman kila mida
Naamka asubuh sina vibe af ukichek muuni sina vyangu
Naenda kwa shivo anafanya maajabu
Nadrop Laface kufos na wanangu
Mishe mishe mingi sina muda na demu wangu
24/7 ni mi na wanangu
Ndomaana nafanya hii kitu kwa wanangu
Na nsingekua hapa kama sio wanangu
Misele daily kusaka chapaa
Hakuna kupumzika hadi siku nakufa
Mishe mishe kila kona ya mtaa
Kulia nna shada Kushoto nna mkokaa
Mitaa inajua Willer balaa
Natembea nikiRap wanafkiri nakichaa
Nakumbuka nlivokua nashinda na njaa
Ghetto kutwa nzima sina hata raha
Saiv Niko Pizza hut mkuki house na wanangu tunakichafua
Wanangu wote wanatokea kwenye shida, Wanao wote wakishua
Wanao wote masnitch
Wanangu wako real na hawajawai kufek
Real life like Yungeene Ace
Nakubalika kila street
Masnitch wote mi na shoot
Schekicheki na masnitch
Leta usnitch nikushoot
Natembeza kama John Wick
Nafanya hii kitu kwa maisha bro
Staki utani
I got the key to the street bro
Huwez shindana na mi
Skai kizembe nafosi bro
Na Lazima ni win
Niamini Mimi bro haujui chochote kuhusu Mimi
Chorus
Nahaso mchana (mchana kutwa)
Usiku na'ball na wauni
Mademu wawili niko nao magetoni
Wanachezea mti kama Tarzan
Nakichafua kama Binladen
Kama snitch bora ukae mbali
Niggas know I make it happen
Shout-out my nigga Rayvany (Willer)
Credits

About “Natokea_mtaani” by Willer

Read the complete lyrics to "Natokea_mtaani" by Willer in 2020. On Lyrks you can follow along with the full text, explore the artist's discography, and discover related songs. The track is often categorized under Rap.

"Natokea_mtaani" is performed by Willer. in 2020 This page provides the full lyric text for fans who want to sing along, study the songwriting, or compare versions across releases. Lyrks organizes lyrics by artist and song slug so you can bookmark and share a stable URL. Music lyrics help listeners connect with emotion, narrative, and rhythm in a track. Whether you are learning English, researching a favorite chorus, or preparing for karaoke, having accurate line breaks and section labels (verse, chorus, bridge) makes the experience easier. We link to the official artist profile on Lyrks where available, including biography snippets, top songs, and chart placements when we have that data. If you enjoy "Natokea_mtaani", explore more songs by Willer using the links below. Chart and trending pages on Lyrks highlight what listeners are searching for this week. For copyright or correction requests, see our DMCA and contact pages.

View all songs and biography for Willer · Trending lyrics · Billboard Hot 100

Frequently asked questions

"Natokea_mtaani" is credited to Willer. Songwriting credits may include additional writers listed on the release; check the credits section on this page for linked collaborators.

Album information for "Natokea_mtaani" is not available in our database yet. You can still read the full lyrics on this page.

Visit the Willer artist page at /artist/willer for biography, popular tracks, and links to more lyric pages.