I'm looking so boujee Ila kwa ukweli nishaupambaya My life is like a movie yenye ngumi ile mbaya Ninapete ye gold naweza kuvunja shaya Kuna dem cuppuccino ambaye tu mala** Ukinipa bill naipiga kama John Cena Ile kimtaani mtaani hata hope sina Umeleta utani mwenzio hata akili sina Kwani kitu gani mi nazima mpaka jiji zima Vitu kibao kichwani kama nina uzimu Jinsi navyo rap na vocals wanaingizia jimu Bro hujui hata kunyonga alafu navusha steam Nitakupa namba alafu ukipiga nikukatie simu Wangapi wana maswali nimekuja na majibu Nimetoka mbali hadi napokwenda nahisi ni karibu Sometimes namind manguli wanavyonijaribu Ila kumbe wanamind zaidi vile huwa siwajibu Ni paka rapper rapper anayewatesa watu wazima Toa hizo takataka za watoto wanaotaka kupima Toka chaka tuna charter la dunia mzima Hawajui mi ndo baba nao watoto wananikosea heshima Eeeh, kesha jana yangu nipe tambara Aaah, nakuoza zetu makachara Da Da, Daresalama Da Da, Daresalama Da Da, Daresalama Da Da, Daresalama Lеo ni leo sio kitoto kidingi Leta nyama hivi vyombo ni vingi Kama ligi weka moto baridi Afu zikizidi ni kwеnda kuchiti Aah unamtaka nani? Badman Daresalama here we go Si tunataka money Tutazisaka kokote ziliko Wapi Gigy? Leta papa Basi mimi hio bill leta hapa Nani? Weka sign paka rapa Weka sign DSM weka sign Anataka kuja DSM kasha check out leo Dubai After kwanza January anataka achill hadi July Ni paka rapper rapper anayewatesa watu wazima Toa hizo takataka za watoto wanaotaka kupima Toka chaka tuna charter la dunia mzima Hawajui mi ndo baba nao watoto wananikosea heshima Eeeh, kesha jana yangu nipe tambara Aaah, nakuoza zetu makachara Da Da, Daresalama Da Da, Daresalama Da Da, Daresalama Da Da, Daresalama Aah unamtaka nani? Badman Daresalama here we go Si tunataka money Tutazisaka kokote ziliko Da Da, Daresalama Da Da, Daresalama Da Da, Daresalama Da Da, Daresalama
Read the complete lyrics to "DareSalama" by Young Daresalama. On Lyrks you can follow along with the full text, explore the artist's discography, and discover related songs. The track is often categorized under Pop.
"DareSalama" is performed by Young Daresalama. This page provides the full lyric text for fans who want to sing along, study the songwriting, or compare versions across releases. Lyrks organizes lyrics by artist and song slug so you can bookmark and share a stable URL.
Music lyrics help listeners connect with emotion, narrative, and rhythm in a track. Whether you are learning English, researching a favorite chorus, or preparing for karaoke, having accurate line breaks and section labels (verse, chorus, bridge) makes the experience easier. We link to the official artist profile on Lyrks where available, including biography snippets, top songs, and chart placements when we have that data.
If you enjoy "DareSalama", explore more songs by Young Daresalama using the links below. Chart and trending pages on Lyrks highlight what listeners are searching for this week. For copyright or correction requests, see our DMCA and contact pages.
"DareSalama" is credited to Young Daresalama. Songwriting credits may include additional writers listed on the release; check the credits section on this page for linked collaborators.
Album information for "DareSalama" is not available in our database yet. You can still read the full lyrics on this page.
Visit the Young Daresalama artist page at /artist/young-daresalama for biography, popular tracks, and links to more lyric pages.