Lyrks
Lyrks
Lyrks
Cover Art

Dear God (Cover) Lyrics by Yvan Paul

2019

Verse 1:
Nimezarauliwa,nikanyanyaswa
Mwisho apo nikatupwa mimi
Ndipo apo ukaniokota mimi
Mimi mwenye roho mbaya ya kila aina
Ndipo apo umeniokoa
Ukanileta katika uzuri wako
Kila nacokifanya naamini roho yako
Inaniongoza pale pote napokwenda
Wengi wanakula time
Istoshe wana eat nyama choma
Wakati mimi niko kwenye kona
Siamini yangu maco
Kanisani wanajifanya kondoo
Japo wa-wanafica makuca
Hii kweli nomaa
Wengi tunakwisha
Apa na pale tunabaguwana
Katika haya Maisha
Chanzo sisi kucukiana
Kwanini tusiwe na Umoja
Kwakuwa Mungu ni Umoja
Tunapopungukiwa
Unatubariki Baba mwenye heri na riziki
Baba mwenye heri yeah
Heri na riziki
Chorus :
They try to put me down, but I still arise
They try to put me down
But I still arise
Verse 2 :
Baba wewe mwenye sifa
Baba wewe wa taifa
Nimekuwa mzaifu
Sijui vipi nikusifu
Baba aliye hai
Mweye nguvu
Ningekuwa wapi kabisa
Cini ya hii dunia singeweza
Baba mwenye njia
Uliye pokeya mweu
Mwenye ucafu
Ukanifanya mkamilifu
Popote pale nakutegemeya
Sina sehemu nyengine ya kuegamia
Nani mwenye roho kama yako
Popote pale naona love yako
Wewe ndiye wakuabudiwa
Wewe ndiye wakuabudiwa
Credits

About “Dear God (Cover)” by Yvan Paul

Read the complete lyrics to "Dear God (Cover)" by Yvan Paul in 2019. On Lyrks you can follow along with the full text, explore the artist's discography, and discover related songs. The track is often categorized under Rap.

"Dear God (Cover)" is performed by Yvan Paul. in 2019 This page provides the full lyric text for fans who want to sing along, study the songwriting, or compare versions across releases. Lyrks organizes lyrics by artist and song slug so you can bookmark and share a stable URL. Music lyrics help listeners connect with emotion, narrative, and rhythm in a track. Whether you are learning English, researching a favorite chorus, or preparing for karaoke, having accurate line breaks and section labels (verse, chorus, bridge) makes the experience easier. We link to the official artist profile on Lyrks where available, including biography snippets, top songs, and chart placements when we have that data. If you enjoy "Dear God (Cover)", explore more songs by Yvan Paul using the links below. Chart and trending pages on Lyrks highlight what listeners are searching for this week. For copyright or correction requests, see our DMCA and contact pages.

View all songs and biography for Yvan Paul · Trending lyrics · Billboard Hot 100

Frequently asked questions

"Dear God (Cover)" is credited to Yvan Paul. Songwriting credits may include additional writers listed on the release; check the credits section on this page for linked collaborators.

Album information for "Dear God (Cover)" is not available in our database yet. You can still read the full lyrics on this page.

Visit the Yvan Paul artist page at /artist/yvan-paul for biography, popular tracks, and links to more lyric pages.