Lyrks
Lyrks
Lyrks
Cover Art

Block Za Udongo Lyrics by Ghafla

2021

Chorus
Tunafurahi tuna uhai pumzi tunayo
Tunaendesha hii mitaa ndio kwa manual
Block za udongo ni A sio chicago
Sisi ni walimu huku mtaa sisi ni mfano
Tunafurahi tunaenjoy leo ni viwango
Ukiwa na watu we ni tajiri maisha yako
Verse 1
Narudi nyumbani narudi mitaa
Najua nawindwa nalindwa na Jah
Nafurahi navaa nawaka balaa
Mama akicheka nalia kwa furaha
Nachana mikeka adui shangaa
Na shanga nakata mrembo anakaa
Ghafla ni star
Taa ya mtaa
Hatamu imefika ni muda wa shujaa
Achana na mziki ninaoufanya haufanani na nafasi ninayowekwa
Nashukuru kwa yote maana hakuna atujuaye vyema zaidi ya..(Allah)
Chorus
Tunafurahi tuna uhai pumzi tunayo
Tunaendesha hii mitaa ndio kwa manual
Block za udongo ni A sio chicago
Sisi ni walimu huku mtaa sisi ni mfano
Tunafurahi tunaenjoy leo ni viwango
Ukiwa na watu we ni tajiri maisha yako
Ukiwa na watu bila shaka maisha unayo
Natokea mtaa block za udongo mpaka kwako wewe
Verse 2
Fisadi ana sign EPA
Wanangu wana roll paper
Wanangu wanaijua njaa
Wanaujua msoto hivyo wanaukwepa
Kicheche anadai pesa
Anataka nimgaie u-famous
Anataka nimrushe
Si mpaka nimrushe
Sitoi promo nikavae pampers
Skendo natupa kwa juu
Shukuru Mungu aliye juu
Kila siku ni nafuu
Kila siku sikukuu
Asante Mungu we unanijua
Baba Mungu napumua
Naendesha mtaa kama Zimba flani chocho zote natifua
Rap battlе freestyle onyesha uwezo kama tupo S.U.A
Huku mziki huku mtaa kati mimi yеaah si unanijua
Nagawa upendo ka salamu kuhusu msosi kwetu ni manuva
Nazamisha meli bila muwa
Tupo mtaa kaka mkubwa
Nipo mtaani ninashtua
Hustle kwenye jua mvua
Nusu nusu mpaka nzima ikue
Usiuze nafsi itakua
Pasi pasi mpaka goli mkula
Pafu pafu tunashtua
Pasi pasi mpaka goli mkula
Pafu pafu tunashtua..grrrr
Chorus
Tunafurahi tuna uhai pumzi tunayo
Tunaendesha hii mitaa ndio kwa manual
Block za udongo ni A sio chicago
Sisi ni walimu huku mtaa sisi ni mfano
Tunafurahi tunaenjoy leo ni viwango
Ukiwa na watu we ni tajiri maisha yako
Ukiwa na watu bila shaka maisha unayo
Natokea mtaa block za udongo mpaka kwako wewe
Outro (Ghafla)
Natokea mtaa block za udongo mpaka kwake wewe
Tunafurahi tuna uhai pumzi tunayo
Dobe Pro KSS
Muzik Tanzania baby
Mtaa
Cut the beat off
Credits

About “Block Za Udongo” by Ghafla

Read the complete lyrics to "Block Za Udongo" by Ghafla in 2021. On Lyrks you can follow along with the full text, explore the artist's discography, and discover related songs. The track is often categorized under Hip-Hop, Rap, Tanzania.

"Block Za Udongo" is performed by Ghafla. in 2021 This page provides the full lyric text for fans who want to sing along, study the songwriting, or compare versions across releases. Lyrks organizes lyrics by artist and song slug so you can bookmark and share a stable URL. Music lyrics help listeners connect with emotion, narrative, and rhythm in a track. Whether you are learning English, researching a favorite chorus, or preparing for karaoke, having accurate line breaks and section labels (verse, chorus, bridge) makes the experience easier. We link to the official artist profile on Lyrks where available, including biography snippets, top songs, and chart placements when we have that data. If you enjoy "Block Za Udongo", explore more songs by Ghafla using the links below. Chart and trending pages on Lyrks highlight what listeners are searching for this week. For copyright or correction requests, see our DMCA and contact pages.

View all songs and biography for Ghafla · Trending lyrics · Billboard Hot 100

Frequently asked questions

"Block Za Udongo" is credited to Ghafla. Songwriting credits may include additional writers listed on the release; check the credits section on this page for linked collaborators.

Album information for "Block Za Udongo" is not available in our database yet. You can still read the full lyrics on this page.

Visit the Ghafla artist page at /artist/ghafla for biography, popular tracks, and links to more lyric pages.