Lyrks
Lyrks
Lyrks
Cover Art

Mapema mno Lyrics by Ghafla

2021

Chorus
Tumezaliwa kwenye dhiki anajua mola tuliyoyapitia ni magumu usiombe
Tumejikita kwenye mziki tuikwepe njaa maana tumbo kavu linauma usiombe
Tumezungukwa na rafiki ndo wanaochoma tunacheka nao ila wanaomba tusitoke
Napiga hatua na kila hatua naubeba mtaa mi na washindi tutatoka tusichoke
Verse 1
Mapema kusema ni ngumu kutoka ku-shine ni ngumu ku-win
Huenda tunakwama ila niamini hatufeli haturudi chini
Huenda mnapima mafanikio yetu mpaka tuvae madini
Kama hamjui tumepoa mtaani tunafosi tunahesabu ushindi
Cash zina flow kwa account
Hesabu inaanzia shilingi
Kabla hatuja hesabu laki kibubu kiliwekewa ishirini
Kitu sitoi ni wakati siku hizi na shine una feel
Huwezi amini ni classic navaa mtaa naishi
Tuache story ilikuwa ni kwenye msoto na
Tulipotoka ilikuwa ni block za udongo na
Ukisema studio itabidi nyumbani walale njaa
Hatujielezi si mnajua rangi halisi ya mkaa
So i pray,before the fame
Lets get paid,lets nigga shine
Kabla sijafa sijaumbika siwezi kufuru Jah
Siwezi kukukosoa najivunia kuwa sehemu ya mtaa
Chorus
Tumezaliwa kwenye dhiki anajua mola tuliyoyapitia ni magumu usiombe
Tumejikita kwenye mziki tuikwepe njaa maana tumbo kavu linauma usiombe
Tumezungukwa na rafiki ndo wanaochoma tunacheka nao ila wanaomba tusitoke
Napiga hatua na kila hatua naubeba mtaa mi na washindi tutatoka tusichoke
Verse 2
Hawakutupenda tukiwa hai tukiondoka mtaona
Risala ndefu watatumiss na hawakuona mbona
Hawakutu support tukiwa chini tukitoboa mtaona
Watajifanya wanatujua waambulie ili followers
Tuwaongezee viewers
Sio upendo ni biashara ni budda
Ni ishu ya muda
Ni change location ni park buggati
Tukiwa club leta bill nitamaliza
Baada ya show andaa pipa andaa Visa
Hatuna mauzo sitaki video sitaki picha
Na ukija ghetto mtoto mkali ni Monalisa
Kuishi raha mustarehe tulizidisha kukomaa
Tuliamka alfajiri hatukupitisha kuomba
Hatukuchoka kushukuru ametubariki unaona
Tunapotoka hakuna upendo wanakunywa uji wa mgonjwa
Jazia maji ilikuwa kauli leo kumaliza sidhani
Ninachopata sili peke yangu naenda lia mtaani
Chorus
Tumezaliwa kwenye dhiki anajua mola tuliyoyapitia ni magumu usiombe
Tumejikita kwenye mziki tuikwepe njaa maana tumbo kavu linauma usiombe
Tumezungukwa na rafiki ndo wanaochoma tunacheka nao ila wanaomba tusitoke
Napiga hatua na kila hatua naubeba mtaa mi na washindi tutatoka tusichoke
Credits

About “Mapema mno” by Ghafla

Read the complete lyrics to "Mapema mno" by Ghafla in 2021. On Lyrks you can follow along with the full text, explore the artist's discography, and discover related songs. The track is often categorized under Tanzania, Hip-Hop, Rap.

"Mapema mno" is performed by Ghafla. in 2021 This page provides the full lyric text for fans who want to sing along, study the songwriting, or compare versions across releases. Lyrks organizes lyrics by artist and song slug so you can bookmark and share a stable URL. Music lyrics help listeners connect with emotion, narrative, and rhythm in a track. Whether you are learning English, researching a favorite chorus, or preparing for karaoke, having accurate line breaks and section labels (verse, chorus, bridge) makes the experience easier. We link to the official artist profile on Lyrks where available, including biography snippets, top songs, and chart placements when we have that data. If you enjoy "Mapema mno", explore more songs by Ghafla using the links below. Chart and trending pages on Lyrks highlight what listeners are searching for this week. For copyright or correction requests, see our DMCA and contact pages.

View all songs and biography for Ghafla · Trending lyrics · Billboard Hot 100

Frequently asked questions

"Mapema mno" is credited to Ghafla. Songwriting credits may include additional writers listed on the release; check the credits section on this page for linked collaborators.

Album information for "Mapema mno" is not available in our database yet. You can still read the full lyrics on this page.

Visit the Ghafla artist page at /artist/ghafla for biography, popular tracks, and links to more lyric pages.