Lyrks
Lyrks
Lyrks
Cover Art

Mtoro Wa Nchi Lyrics by Ghafla

2021

Chorus
Umetengeneza pesa mingi nje ya nyumbani ili uwe V.I.P nanii(right)
Na umetaabika sana pia ukiwa njiani R.I.P nanii
Tumepoteza wanajeshi wengi mtaani R.I.P nanii(right)
Naitwa Ghafla baby
Natoka mtaani
Niite mtoro wa nchi
Verse 1 (Ghafla)
Sina mpaka wala tabaka
Bali mabaka kwenye ngozi
Roho zaidi ya paka
Koo zaidi ya Shaka
Baraka zaidi ya papa
Haiwaingii mnipe mamlaka
Natamani niwe mzalendo ila nitakuwa peke yangu
Nitatumika kama chambo
Kitambo ningeongea demokrasia ipo ng'ambo
Uhuru wa wanangu
Nakula haramu iliyonona
Salamu nikiwa nagomba
Sina upendo labda nyota
102 ndo code bra
Kiatu ngozi ya Cobra
Fanya show na Oprah
Hata brain wise kuwa mkali hakutengeneza beat moja
Kusakwa hadi kupatwa
Kwa dhiki na magonjwa
Njaa kali uswazi nini
Ingia Sauzi ama nini
Nyonga tai zama mjini
Hatuna mauza no photos
Club maji sio dompo
Mbali na nyumbani lazima itakuwa sio bongo
Kubaguliwa na watu baki huwa ni sawa
Ila ukibaguliwa nyumbani ni lazima ujisikie vibaya
Natamani kuwa mzalendo ila msiniagize madawa
Akiwa nchi za watu alitutoka Cowbama..Right
Ghafla baby
Natoka mtaani niite mtoro wa nchi
Chorus
Umetengeneza pesa mingi nje ya nyumbani ili uwe V.I.P nanii(right)
Na umetaabika sana pia ukiwa njiani R.I.P nanii
Tumepoteza wanajeshi wengi mtaani R.I.P nanii(right)
Naitwa Ghafla baby
Natoka mtaani
Niite mtoro wa nchi
Umetengeneza pesa mingi nje ya nyumbani ili uwe V.I.P nanii(right)
Na umetaabika sana pia ukiwa njiani R.I.P nanii
Tumepoteza wanajeshi wengi mtaani R.I.P nanii(right)
Naitwa P mawenge
Natoka mtaani
Niite mtoro wa nchi
Verse 2 (P mawenge)
Wakati nawaza benzi, bugati na ma bentley
Nyumbani barazani mshua kapaki baiskeli
Mi nikaona hii sio kweli, na skuli skufeli
Sa si bora nkawabane tu hata poda na mineli
Usishangae kuona vile nna makovu mwili mzima
Zote struggles, mishe za ku play to be a wnner
Kwenye game bado jina, fame bado sina
Japo mkali eti sababu ya complain wakanizima
So hata mziki home ukafa, nkaendelea ku-suffer
Na ndo time, nikawa na mentality ya ki-hustler
Sina passport, vyote kwangu nliona takataka
Ntasafiri hata kwa basi ntoboe chaka to chaka
Sa niko nchi jirani, na bonge la kampani
Michomoko night kali 10 nje 10 ndani
Japo wengi washapotea, wanetu buriani
Acha nitafute japo nimepamiss nyumbani
Outro
Right
Naitwa P mawenge
Natoka mtaani
Niite mtoro wa nchi
Credits

About “Mtoro Wa Nchi” by Ghafla

Read the complete lyrics to "Mtoro Wa Nchi" by Ghafla in 2021. On Lyrks you can follow along with the full text, explore the artist's discography, and discover related songs. The track is often categorized under Rap.

"Mtoro Wa Nchi" is performed by Ghafla. in 2021 This page provides the full lyric text for fans who want to sing along, study the songwriting, or compare versions across releases. Lyrks organizes lyrics by artist and song slug so you can bookmark and share a stable URL. Music lyrics help listeners connect with emotion, narrative, and rhythm in a track. Whether you are learning English, researching a favorite chorus, or preparing for karaoke, having accurate line breaks and section labels (verse, chorus, bridge) makes the experience easier. We link to the official artist profile on Lyrks where available, including biography snippets, top songs, and chart placements when we have that data. If you enjoy "Mtoro Wa Nchi", explore more songs by Ghafla using the links below. Chart and trending pages on Lyrks highlight what listeners are searching for this week. For copyright or correction requests, see our DMCA and contact pages.

View all songs and biography for Ghafla · Trending lyrics · Billboard Hot 100

Frequently asked questions

"Mtoro Wa Nchi" is credited to Ghafla. Songwriting credits may include additional writers listed on the release; check the credits section on this page for linked collaborators.

Album information for "Mtoro Wa Nchi" is not available in our database yet. You can still read the full lyrics on this page.

Visit the Ghafla artist page at /artist/ghafla for biography, popular tracks, and links to more lyric pages.