Lyrks
Lyrks
Lyrks
Cover Art

Bado Nimo Lyrics by Ngwair

0

(Instrumentals)
[Verse 1: Ngwair]
Nasikia raha jinsi nilivyo staa
Ni zaidi ya Robert DeNiro, mimi ni top in Dar
Najulikana dunia nzima
Na kila kona wanataja langu jina
Sio tu watu wazima
Hadi watoto, 'majina mengi (Uh)
A.K.A. Moto (What?)
A.K.A. Umeme (What?)
A.K.A. Miwaya (What?)
A.K.A. Ngoma, 'mziki usio na dawa (Aya...)
Lakini sina ubaya
Na sibagui nchi za Afrika au nchi za Ulaya
Ni wengi tu nishawaondoa duniani (Yeah)
Ni wengi bado na watesa vitandani (Ha-ha)
Acha idadi kubwa ambao wapo safarini
Sijali watoto wa kishua au unapoanza uswahilini (Unapoa uswahilini)
Si mshajuwa nazungumzia nini?
UKIMWI?
UKIMWI, UKIMWI
Yo, A.K.A. Mimi
Natesa sana nnapo kuingia mwilini
Wakina gono, kaswende 'wote baba yao mimi, amini
Mi ndio kubwa la maadui
Na leo nakuja kwako usizuge kama hunijui, holla
[Chorus: T.I.D.]
Ushani-diss kwenye radio
Lakini bado nimo, nimo
Ushani paka kwenye video
Lakini bado nimo, nimo
Madawa mengi yananishindwa mimi
Lakini bado nimo, nimo
Na imani nitamaliza tu
Lakini bado nimo, nimo
[Verse 2: Ngwair]
Acha kujivunia kwa ulicho nacho
Kawaida yangu huwa sionekani kwa jicho (Woo!)
Kwa mtu yeyote mi nakaa
Mzima au kichaa, hata hao mnao waita mapapaa
Maza au sista-doo anaye ng'aa (Anaye ngaa)
Sijali mwembamba au ana bambataa (Woo!)
Wenye miguu ya vimini, ma queen na wote wenye majina makubwa mjini (Ma supastaa)
Wenye fedha, viongozi wa dini
Nikiwa pata hao nasambaa kiulaini
Nikisaidiwa na wale wasio pima
Katika campaign ya kuongeza ma yatima (What?)
Na staili nyingi naweza nikakupa mfano
Kwenye 'nyembе, vidani, zaidi kwa sindano (Yeah)
Timing yangu nyingine ni kwenyе mikasi
Na hapo ndipo wengi walipo nipa nafasi
[Chorus: T.I.D.]
Ushani-diss kwenye radio
Lakini bado nimo, nimo
Ushani paka kwenye video
Lakini bado nimo, nimo
Madawa mengi yananishindwa mimi
Lakini bado nimo, nimo
Na imani nitamaliza tu
Lakini bado nimo, nimo
[Verse 3]
Nimesikia kuna watu hawazimii
Kama huyu mama Terry, 'sijui hanifagilii (Hanifagilii)
Kila siku ananiua kwenye T.V., magazeti, redio
Wanadhani sisikii
Wanachafua jina langu kwa jamii (Yeah)
Nnacho shukuru wabongo wengi hawasikii (Right)
Wako (?)
Yeye na honey wake wote kwa staili hii
Na kila nikiwavizia, 'wanabana
Kila wakikutana wana tumia dhana
Wapo wanao amini dawa zipo
(?)
Ni jana tu nimemkamata Rehema na (?)
Nikisahau ujue narudi tena (Woo!)
Na kachaa bado nimo (Bado nimo)
Na ukiniachia nafasi tu, umejichimbia shimo
[Chorus: T.I.D.]
Ushani-diss kwenye radio
Lakini bado nimo, nimo
Ushani paka kwenye video
Lakini bado nimo, nimo
Madawa mengi yananishindwa mimi
Lakini bado nimo, nimo
Na imani nitamaliza tu
Lakini bado nimo, nimo
[Outro: Ngwair & T.I.D]
Yeah, (yo)
Nani mwingine wakufanya kama hii (Kama hii)
Zaidi ya P na mi, (Na mimi)
Ngwair, (Ngwair)
A.K.A. Mimi (Top in Dar)
Natisha kama UKIMWI, Ha-ha
East Zoo y'all (Mm, no, no)
Bongo Records, (Bongo Records y'all)
Utakufa kilo mbili
Utaua bendi, kilo mbili, utaua bendi
Credits

About “Bado Nimo” by Ngwair

Read the complete lyrics to "Bado Nimo" by Ngwair. On Lyrks you can follow along with the full text, explore the artist's discography, and discover related songs. The track is often categorized under Rap.

"Bado Nimo" is performed by Ngwair. This page provides the full lyric text for fans who want to sing along, study the songwriting, or compare versions across releases. Lyrks organizes lyrics by artist and song slug so you can bookmark and share a stable URL. Music lyrics help listeners connect with emotion, narrative, and rhythm in a track. Whether you are learning English, researching a favorite chorus, or preparing for karaoke, having accurate line breaks and section labels (verse, chorus, bridge) makes the experience easier. We link to the official artist profile on Lyrks where available, including biography snippets, top songs, and chart placements when we have that data. If you enjoy "Bado Nimo", explore more songs by Ngwair using the links below. Chart and trending pages on Lyrks highlight what listeners are searching for this week. For copyright or correction requests, see our DMCA and contact pages.

View all songs and biography for Ngwair · Trending lyrics · Billboard Hot 100

Frequently asked questions

"Bado Nimo" is credited to Ngwair. Songwriting credits may include additional writers listed on the release; check the credits section on this page for linked collaborators.

Album information for "Bado Nimo" is not available in our database yet. You can still read the full lyrics on this page.

Visit the Ngwair artist page at /artist/ngwair for biography, popular tracks, and links to more lyric pages.