Lyrks
Lyrks
Lyrks
Cover Art

Bila Muziki Lyrics by Ngwair

0

[Verse 1: Ngwair]
Yeah
Yow!
Tulizaliwa kwenye shida tukakulia kwenye hizo hizo' shida ki shida shida
Kukaba, Ganja, Widah, Kusukuma kete kwa mateja' kawaida
Chochote ili mradi ku-succeed ah coz life ni tough halafu' feelings kibao lazima tu puff puff pass
Simba akikosa nyama ni nyasi ( Woo! )
Ghetto maji ya mtungi sio friji, unamjua mama na hujawahi muona dingi
Ujapenda ila ndio ushazaliwa ghetto ila usingependa wako mtoto' watoto waje pitia lifestyle uliyo ishi
Sio lazima uwe mbishi' usake hela, Busy' ka (?) na Said Fella na ukizingua ni jela ( So )
Sawa msela?
Yeah
[Chorus: Bushoke]
Life ingekuwa vipi bila mziki ( Ah )
Maisha yangekuwa aje bila mziki
Kwa masela wa kitaa kwenye nyuzi za gitaa ooh yeah
Watu wasingekuwa na furaha >> bila mziki
[Verse 2: Ngwair]
Yote maisha katuandikia Allah, fanya juhudi pia usisahau sala
Kama hauna kitu usichague kazi, mlango moja ukifungwa tisa iko wazi
Na mshukuru mola kwa kuumba huu mziki ( Yeah )
Wengi tu umetutoa kwenye dhiki hatukuvaa nguo mpya sikukuu, japo tulisoma ila sio elimu za juu
Na' ustakе juwa shughuli zetu za zamani ila usipime kama tunge-lost vitani
Tukiwa na Nako hata kabla hawaja bang' usiku tuki-movе kwa ma- gang
Tayari nilishaitwa msanii kabla sijashika mic, sijajuana na P ( So )
Jiulize ulikuwa usanii gani wengi tu leo hii hawapo tena duniani
Rest in peace!
[Chorus: Bushoke]
Life ingekuwa vipi bila mziki ( Ah )
Maisha yangekuwa aje bila mziki
Kwa masela wa kitaa kwenye nyuzi za gitaa ooh yeah
Watu wasingekuwa na furaha >> bila mziki
[Verse 3:]
Yow
Yow
Hii kitu hii ( Hii )
Hii kitu hii ( Hii )
Imefanya wengi tu wametoka
Wagosi wa kaya, Ras Lion, John Walker
Sitegemei Professa Jay kuchoka ( Ayo )
A.Y.,( A.Y. )
F.A. ( Yeah ) na Dj Dee ndio yuko juu every day
Japo mwanzo ilionekana uhuni, Nature ana heshima yake hata ukimuita katuni
Tusipigie kelele tu haki miliki huku wenyewe tunaleteana usaliti
Tunachohitaji ni unit ka Kwanza, J-Moe mwana tuendelee kukaza
Kwa kudra za mola aliye juu, dream zetu siku zitakuwa true
Nnachoamini Ngwair' ni lazima siku moja niwe a-milli, a-milli, onaire
Holla!
[Chorus: Bushoke]
Life ingekuwa vipi bila mziki ( Oh mmh Luh luh duh )
Maisha yangekuwa aje bila mziki ( Yangekuwa aje aje yeah )
Kwa masela wa kitaa ( Oh ) kwenye nyuzi za gitaa ( zi za kitaa )
Watu wasingekuwa na furaha >> bila mziki ( Bila mziki mziki )
[Outro:]
Oh no no
P-Funk
Bongo Records
The Cowboy
B ruta (?)
Mm mziki
(Instrumentals)
Credits

About “Bila Muziki” by Ngwair

Read the complete lyrics to "Bila Muziki" by Ngwair. On Lyrks you can follow along with the full text, explore the artist's discography, and discover related songs. The track is often categorized under Rap.

"Bila Muziki" is performed by Ngwair. This page provides the full lyric text for fans who want to sing along, study the songwriting, or compare versions across releases. Lyrks organizes lyrics by artist and song slug so you can bookmark and share a stable URL. Music lyrics help listeners connect with emotion, narrative, and rhythm in a track. Whether you are learning English, researching a favorite chorus, or preparing for karaoke, having accurate line breaks and section labels (verse, chorus, bridge) makes the experience easier. We link to the official artist profile on Lyrks where available, including biography snippets, top songs, and chart placements when we have that data. If you enjoy "Bila Muziki", explore more songs by Ngwair using the links below. Chart and trending pages on Lyrks highlight what listeners are searching for this week. For copyright or correction requests, see our DMCA and contact pages.

View all songs and biography for Ngwair · Trending lyrics · Billboard Hot 100

Frequently asked questions

"Bila Muziki" is credited to Ngwair. Songwriting credits may include additional writers listed on the release; check the credits section on this page for linked collaborators.

Album information for "Bila Muziki" is not available in our database yet. You can still read the full lyrics on this page.

Visit the Ngwair artist page at /artist/ngwair for biography, popular tracks, and links to more lyric pages.