Lyrks
Lyrks
Lyrks
Cover Art

Vitani Lyrics by Ghafla

0

Chorus
Sitokaa nitasimama ndo nilivyo
Jua ni vita huku mtaa ndo ulingo
Vikwazo vingi ukizubaa tu haupo
Kwenye washindi kwenye mashujaa ndo nilipo
Onyesha upendo uchukiwe ndo ilivyo
Uhai wako utishiwe na ulipo
Nafasi yako waichukue kwa vitisho
Mtaani vitani
Verse 1
Nishaona mshkaji anauza mshkaji akiwa na mshkaji washkaji
Nishaambiwa sikupendi na niliyempenda kisa sikuwa na ganji
Sikuwa na demu wangu kila demu aliniambia ana mshkaji
Salute kwa warembo walionitunuku nilipozidiwa mshkaji
Nilishuhudia mama akilia siku tumelala njaa
Na ndo maana situlii napigana mtaa
Itakuwa sawa usihuzunike mama calm down
Bado naamini napambana im gonna make you proud
Sihitaji crown wala umaarufu kama havileti
Sihitaji ushindani nitabaki mkali kaangalie maandiko
Si naifanya kwa ajili ya watu basi haina tatizo
Nawapa faraja watu wangu mi inanipa mshiko
Siku mwingi ilikuwa studio asubuhi sana kona
Kwenye usaliti kuna njaa usinihesabie vidonda
Mashimo ndani nani ataziba zaidi ya sala unaona
Na tulichopata tulishukuru tulizidisha kukomaa
Chorus
Sitokaa nitasimama ndo nilivyo
Jua ni vita huku mtaa ndo ulingo
Vikwazo vingi ukizubaa tu haupo
Kwenye washindi kwenye mashujaa ndo nilipo
Onyesha upendo uchukiwe ndo ilivyo
Uhai wako utishiwe na ulipo
Nafasi yako waichukue kwa vitisho
Mtaani vitani
Verse 2
Bado ni ngumu naona njia na share
Siishi na chuki nasamehe naishia
Upendo utuongoze nilichonacho nawapea
Tangu nakua niliambiwa mitaa itaongea
Safari ndefu mbele giza
Naona nuru wananiziba
Wananizuia ninapopita
Ni kwa imani tu nitafika
Pita mtaani naona vita
Nyuka cheni nyuka sneaker
Kula chocho tu umekwisha
Mwisho wa story
Mara zote ninachotoa huwa ni zaidi ya msosi
Na wakimjua demu wako nae atageuzwa msosi
Sina nao mazoea wanazidisha mkosi
Niko zangu tu mtaa Muzik Tanzania kikosi
Komaa upate umaskini unadhalilisha
Tumezika wengi bila mkwanja hupati tiba
Nimekosa vingi nikikumbuka sipati picha
Hakuna upendo mpaka upate Yeaah pumbavu shida
Chorus
Sitokaa nitasimama ndo nilivyo
Jua ni vita huku mtaa ndo ulingo
Vikwazo vingi ukizubaa tu haupo
Kwenye washindi kwenye mashujaa ndo nilipo
Onyesha upendo uchukiwe ndo ilivyo
Uhai wako utishiwe na ulipo
Nafasi yako waichukue kwa vitisho
Mtaani vitani
Credits

About “Vitani” by Ghafla

Read the complete lyrics to "Vitani" by Ghafla. On Lyrks you can follow along with the full text, explore the artist's discography, and discover related songs. The track is often categorized under Hip-Hop, Rap, Tanzania.

"Vitani" is performed by Ghafla. This page provides the full lyric text for fans who want to sing along, study the songwriting, or compare versions across releases. Lyrks organizes lyrics by artist and song slug so you can bookmark and share a stable URL. Music lyrics help listeners connect with emotion, narrative, and rhythm in a track. Whether you are learning English, researching a favorite chorus, or preparing for karaoke, having accurate line breaks and section labels (verse, chorus, bridge) makes the experience easier. We link to the official artist profile on Lyrks where available, including biography snippets, top songs, and chart placements when we have that data. If you enjoy "Vitani", explore more songs by Ghafla using the links below. Chart and trending pages on Lyrks highlight what listeners are searching for this week. For copyright or correction requests, see our DMCA and contact pages.

View all songs and biography for Ghafla · Trending lyrics · Billboard Hot 100

Frequently asked questions

"Vitani" is credited to Ghafla. Songwriting credits may include additional writers listed on the release; check the credits section on this page for linked collaborators.

Album information for "Vitani" is not available in our database yet. You can still read the full lyrics on this page.

Visit the Ghafla artist page at /artist/ghafla for biography, popular tracks, and links to more lyric pages.