Lyrks
Lyrks
Lyrks
Cover Art

Singida Dodoma Lyrics by Ngwair

0

Yo, akiwa anaenda ye 'Singida (Dodoma)
Akiwa anarudi ye hupeleka tu Singida
(Dodoma)
Yo, anaipeleka hadi Singida na kisha tena Dodoma, na twende tena Singida
(Dodoma)
Man, wish ungemuona
Yaani anavyo jitingisha jinsi nyuma alivyo shona
Yo, Singida
(Dodoma)
Yeah, mtoto amenona
Na anavyotetemesha zaidi hata ya transformer
[Verse 1:Ngwair]
Kwa jina ni Irene, huyu bonge la queen
Mtoto wa ku-shine kwenye cover ya magazine
Age yake ni kama 20, no ’19? yes
You can tell by the pretty face
Ana figure ya ki-Bantu, huyu mtoto balaa
Jinsi alivyo jaa, jaa na anavyo ng'aa, ng'aa
Ana rangi ya pekee, na anajua kuvaa
Maswali mengi najiuliza juu ya huyu mama
Kama’ wapi amepata hili bonge la smile, man
(She got it from her momma)
Yeah, like Juvenile
Ila mi nadata na hizo two big tings
Vipi naweza penya ndani ya hiyo G-string, chini ya hiyo bra
Na hiyo tight blue jeans
Ntakupa hata vumba, nipangishe please
Sitolipa kodi ya mwaka bali kodi ya maisha
Nadhani ushanifahamu, nini ninacho maanisha (No)
Nataka kukuoa (True)
Yeah, you uko juu, baby beau
Yaani unapo ongea (Uh-Huh)
Mi roho, roho juu 'ila zaidi ukitembea huwa ndio balaa tu
Yaani Singida,(Dodoma)
(Dodoma)
Man, wish ungemuona
Yaani anavyo jitingisha jinsi nyuma alivyo shona
Yo, Singida
(Dodoma)
Yeah, mtoto amenona
Na anavyotetemesha zaidi hata ya transformer
Singida, Dodoma
Man, wish ungemuona
Yaani anavyo jitingisha jinsi nyuma alivyo shona
Yeah, Singida
(Dodoma)
Yeah, mtoto amenona
Na anavyotetemesha zaidi hata ya transformer
Yow
[Verse 2: Ngwair & Dully Sykes]
Na akiwa anaenda utadhani ndio anarudi, man
Huyu mtoto sometimes ana makusudi yaani
Tukiongozana napenda akitangulia
Kuna movie huwa kachaa siichoki kuiangalia
Ile Singida,(Dodoma)
Huku nikimuimbia
Mtoto anavutia, sio sura mpaka tabia pia
My dear, kama ni asilimia '100, nakuongezea zangu 20
Kama D-Fresh 'anapenda kumuita mdoli
Wengi nimewapiga chini toka nimpate huyu shawty
Sikumbuki hata nilikuwa na wangapi
Wenye cash wako safi, ma-auntie, ma-doo wa Masaki
Ila' anawapoteza wote kwa chati
Kuwa nae tu ghetto ni zaidi ya bonge la party, man
Ni zaidi ya feni anavyo kata upepo, huh
(Ngwair, you're a liar)
(?) na wish ungekuepo yaani
Si ushamuona anavyo kata kwa floor?
Basi kwa bed ndio soo, kachaa uta-blow
Don't stop, don't stop, baby give me some more
Huwa napenda tu vile na beats unavyo go hard
Yaani Singida,(Dodoma)
Man, wish ungemuona
Yaani anavyo jitingisha jinsi nyuma alivyo shona
Yo, Singida
(Dodoma)
Yeah, mtoto amenona
Na anavyotetemesha zaidi hata ya transformer
Singida,(Dodoma)
Man, wish ungemuona
Yaani anavyo jitingisha jinsi nyuma alivyo shona
Yeah, Singida
(Dodoma)
Yeah, mtoto amenona
Na anavyotetemesha zaidi hata ya transformer
[Dully Sykes Outro: Drop]
Credits

About “Singida Dodoma” by Ngwair

Read the complete lyrics to "Singida Dodoma" by Ngwair. On Lyrks you can follow along with the full text, explore the artist's discography, and discover related songs. The track is often categorized under Rap.

"Singida Dodoma" is performed by Ngwair. This page provides the full lyric text for fans who want to sing along, study the songwriting, or compare versions across releases. Lyrks organizes lyrics by artist and song slug so you can bookmark and share a stable URL. Music lyrics help listeners connect with emotion, narrative, and rhythm in a track. Whether you are learning English, researching a favorite chorus, or preparing for karaoke, having accurate line breaks and section labels (verse, chorus, bridge) makes the experience easier. We link to the official artist profile on Lyrks where available, including biography snippets, top songs, and chart placements when we have that data. If you enjoy "Singida Dodoma", explore more songs by Ngwair using the links below. Chart and trending pages on Lyrks highlight what listeners are searching for this week. For copyright or correction requests, see our DMCA and contact pages.

View all songs and biography for Ngwair · Trending lyrics · Billboard Hot 100

Frequently asked questions

"Singida Dodoma" is credited to Ngwair. Songwriting credits may include additional writers listed on the release; check the credits section on this page for linked collaborators.

Album information for "Singida Dodoma" is not available in our database yet. You can still read the full lyrics on this page.

Visit the Ngwair artist page at /artist/ngwair for biography, popular tracks, and links to more lyric pages.