Lyrks
Lyrks
Sign In
Cover Art

Weekend Lyrics by Ngwair

0

[Intro]
Weekend
Na East Zoo y'all
Chemba Squad y'all
Bongo Records, yo
C'mon

[Chorus]
Kama weekend
Ndio tayari ishafika
Watu viwanjani wanamiminika
Tufurahi kwa pamoja wakati huu
Na kwa furaha, turushe mikono juu
Kama weekend
Ndio tayari ishafika
Watu viwanjani wanamiminika
Tufurahi kwa pamoja wakati huu
Na kwa furaha, turushe mikono juu

[Verse 1]
Kokote utapo kwenda
Siku ya leo ni ya pekee
Njoo na unaye mpenda
Wote leo tushereke
Vaa unavyo penda
Mpenzi leo upendeze
Cheza utavyoweza
Chunga tu usiteleze
Ile ki, G-to the H to the E to the T and to the T, 'to the O (Ni ghetto)
Kwenye, G weka H, kwenye E weka T, na kwеnye T 'weka O (Ni ghetto)
Masеla kwa ma-doo
Wote rusha mikono juu, uu
Kisha semeni, uuu
Kwani wakati huu, huu, wote tufurahi, hey

[Chorus]
Kama weekend
Ndio tayari ishafika
Watu viwanjani wanamiminika
Tufurahi kwa pamoja wakati huu
Na kwa furaha, turushe mikono juu
Kama weekend
Ndio tayari ishafika
Watu viwanjani wanamiminika
Tufurahi kwa pamoja wakati huu
Na kwa furaha, turushe mikono juu

[Verse 2]
Yo, kila mwisho wa wiki
Kawaida [Majani] hutembelea nduguze na marafiki
Wazazi, 'na wabishi na watoto (Yo)
Ngwair kama kawaida ni club kuruka kopo (Uh-Huh)
Kabla ya Slipway (Yo), kwanza Coco, Oh
Kwa ngazi ya warembo huku tukipata upepo
Kama sina juice mkononi bia ya kopo
P na washkaji kibao wa Bongo Records (Yeah)
Siwafaidi watoto wa kiarabu, figure ndani ya baibui, sura imefichwa na hijab
[Kessy] amezungukwa na mabinti
Siwajui majina mi wote nawaita "Sweetie"
Kuna ma-doo black, ma-doo white
Vivazi ni vi-mini, bikini na jeans tight (Woo!)
Kila mtu na wake, kivyake
Wikiendi babake, mambo mwake, yeah
Holla

[Chorus]
Kama weekend
Ndio tayari ishafika
Watu viwanjani wanamiminika
Tufurahi kwa pamoja wakati huu
Na kwa furaha, turushe mikono juu
Kama weekend
Ndio tayari ishafika
Watu viwanjani wanamiminika
Tufurahi kwa pamoja wakati huu
Na kwa furaha, turushe mikono juu

[Post-Chorus]
Warembo wapo kibao kwenye dancing floor
Natamani mmoja wao kumuita, "Njoo"
Inanibana kauli yangu ya "Milupo, no"
Oh, no
Kachaa naona soo
Warembo wapo kibao kwenye dancing floor
Natamani mmoja wao kumuita, "Njoo"
Inanibana kauli yangu ya "Milupo, no"
Oh, no
Kachaa naona soo, Oh

[Hook]
Basi ma, cheza vile unavyotaka
Kama kiuno unacho basi we kata
Kisha niambie nini unachotaka
Amna shaka, utapata
Basi ma, cheza vile unavyotaka
Kama kiuno unacho basi we kata
Kisha niambie nini unachotaka
Amna shaka, utapata

[Chorus]
Kama weekend
Ndio tayari ishafika
Watu viwanjani wanamiminika
Tufurahi kwa pamoja wakati huu
Na kwa furaha, turushe mikono juu
Kama weekend
Ndio tayari ishafika
Watu viwanjani wanamiminika
Tufurahi kwa pamoja wakati huu
Na kwa furaha, turushe mikono juu

[Outro]
Uh-huh
Mziki mnene, six (?)
Watu tuko happy big time
Weekend, baby
Haha
Woo!
G (?), East Zoo y'all
Bongo Records
No, no
No, no, no, no
No, no, no, no
No, no, no, no
Credits

About “Weekend” by Ngwair

Read the complete lyrics to "Weekend" by Ngwair. On Lyrks you can follow along with the full text, explore the artist's discography, and discover related songs. The track is often categorized under Rap.

"Weekend" is performed by Ngwair. This page provides the full lyric text for fans who want to sing along, study the songwriting, or compare versions across releases. Lyrks organizes lyrics by artist and song slug so you can bookmark and share a stable URL. Music lyrics help listeners connect with emotion, narrative, and rhythm in a track. Whether you are learning English, researching a favorite chorus, or preparing for karaoke, having accurate line breaks and section labels (verse, chorus, bridge) makes the experience easier. We link to the official artist profile on Lyrks where available, including biography snippets, top songs, and chart placements when we have that data. If you enjoy "Weekend", explore more songs by Ngwair using the links below. Chart and trending pages on Lyrks highlight what listeners are searching for this week. For copyright or correction requests, see our DMCA and contact pages.

View all songs and biography for Ngwair · Trending lyrics · Billboard Hot 100

Frequently asked questions

"Weekend" is credited to Ngwair. Songwriting credits may include additional writers listed on the release; check the credits section on this page for linked collaborators.

Album information for "Weekend" is not available in our database yet. You can still read the full lyrics on this page.

Visit the Ngwair artist page at /artist/ngwair for biography, popular tracks, and links to more lyric pages.


Lyrks
Lyrks

Your gateway to the world of music lyrics.

Product

Features


© 2026 Lyrks. All rights reserved.