Lyrks
Lyrks
Lyrks
Cover Art

Anafaa Lyrics by TMK Wanaume Family

Ndio Zetu

0

Tulisha kaa na kuwaza, tuka gundua'
Anafaa kuiongoza Tanzania
Mwenendo wake si tofauti sana na Mwalimu
Na ndio maana tukamuona kwetu ni muhimu
Anafaa...
Anafaa...
Anafaa... ( Jakaya )
Anafaa kuiongoza Tanzania ( Jakaya )
Anafaa...
Anafaa...
Anafaa... ( Jakaya )
Anafaa kuiongoza Tanzania
Ukimtizama anapo toa speech' ndugu Jakaya
Ana kila sababu ya kuitwa mheshimiwa
Kakubalika kila kona hiyo inaeleweka
Na ndio maana kila anapo kwenda ana funika
Anafaa...
Anafaa...
Anafaa... ( Jakaya )
Anafaa kuiongoza Tanzania ( Jakaya )
Anafaa...
Anafaa...
Anafaa... ( Jakaya )
Anafaa kuiongoza Tanzania
Nchi yetu yenye amani na utamaduni
Eti leo tuuane kwa kukosa amani
Tulishatimba nae kila kona hapa nchini
Tukagundua kwamba huyu jamaa yuko makini
Kasi Mpya, Nguvu Mpya, Ari Mpya' ndio sera ya Jakaya...
Kasi Mpya, Nguvu Mpya, Ari Mpya' ndio sera ya Jakaya...
Sisi ndio watu wake wa kwanza' kuchonga nae
Tulivyokuwa nae mitaa ya kati, katika tour
Tukamwambia masela mtaani wamepigika
Na ndio maana wengi wao' sasa wana kaba
Tumempata tulie mpenda, ( Tulie mpenda )
Mungu kamchagua
Ata vijana wana mpenda, ( Wanampenda )
Ndo maana wamemchagua
Tumempata tulie mpenda, ( Tulie mpenda )
Mungu kamchagua
Ata vijana tuna mpenda, ( Tunampenda )
Ndo maana tumemchagua
Kwani Nguvu Mpya, Kasi Mpya, Ari Mpya' itawezeshanaje uchumi wetu kuinuka
Kwani Nguvu Mpya, Kasi Mpya, Ari Mpya' itawezeshanaje uchumi wetu kuinuka
Kasi Mpya, Nguvu Mpya, Ari Mpya!
Kasi Mpya, Nguvu Mpya, Ari Mpya!
Kasi Mpya, Nguvu Mpya
Moja kwa moja mpaka ikulu
Amani na upendo ndo silaha ya watanzania
Tuliweka nia' sasa mambo yametimia
Tumempata anaye tufaa, kiongozi ambaye ni shujaa
Kweli ni kifaa na anafaa
Kutuongoza makacha' wote tumemkubali, kwa kila hali
Hatakama tunashindia ugali, mbona mi naona shwari
Nnachotaka ni amani itawale mpaka mitaani
Mungu mwaangazie Jakaya duru amalize hili duru
Nchi yetu iendelee kuwa huru
Tuna kuombea kwa Mungu uliyo ya ahidi yote uyatekeleze
Elimu iwe juu
Uchumi uwe juu
Kila wikiendi iwe sikukuu
Kina dada, kina kaka, kina mama, kina baba
Je anafaa kuiongoza Tanzania?
( Anafaa )
Je anafaa kuiongoza nchi yetu?
( Anafaa )
Je anafaa kuiongoza Tanzania?
( Anafaa )
Je anafaa kuiongoza nchi yetu?
( Anafaa )
Pongezi kwako Kikwete
Umepita sehemu nyingi na umekwepa vingi vi gingi
Tumekuchagua wewe, unaye tufaa ni wewe
Wengine' utatupa viwewe...
Uh
Tumempata tulie mpenda, ( Tulie mpenda )
Mungu kamchagua
Ata vijana wana mpenda, ( Wanampenda )
Ndo maana wamemchagua
Tumempata tulie mpenda, ( Tulie mpenda )
Mungu kamchagua
Ata vijana tunampenda, ( Tunampenda )
Ndo maana tumemchagua
Kwani Nguvu Mpya, Kasi Mpya, Ari Mpya' itawezeshanaje uchumi wetu kuinuka
Kwani Nguvu Mpya, Kasi Mpya, Ari Mpya' itawezeshanaje uchumi wetu kuinuka
Kwani Nguvu Mpya, Kasi Mpya, Ari Mpya' itawezeshanaje uchumi wetu kuinuka
....

About “Anafaa” by TMK Wanaume Family

Read the complete lyrics to "Anafaa" by TMK Wanaume Family from the album "Ndio Zetu". On Lyrks you can follow along with the full text, explore the artist's discography, and discover related songs. The track is often categorized under Rap.

"Anafaa" is performed by TMK Wanaume Family. from the album "Ndio Zetu" This page provides the full lyric text for fans who want to sing along, study the songwriting, or compare versions across releases. Lyrks organizes lyrics by artist and song slug so you can bookmark and share a stable URL. Music lyrics help listeners connect with emotion, narrative, and rhythm in a track. Whether you are learning English, researching a favorite chorus, or preparing for karaoke, having accurate line breaks and section labels (verse, chorus, bridge) makes the experience easier. We link to the official artist profile on Lyrks where available, including biography snippets, top songs, and chart placements when we have that data. If you enjoy "Anafaa", explore more songs by TMK Wanaume Family using the links below. Chart and trending pages on Lyrks highlight what listeners are searching for this week. For copyright or correction requests, see our DMCA and contact pages.

View all songs and biography for TMK Wanaume Family · Trending lyrics · Billboard Hot 100

Frequently asked questions

"Anafaa" is credited to TMK Wanaume Family. Songwriting credits may include additional writers listed on the release; check the credits section on this page for linked collaborators.

"Anafaa" appears on "Ndio Zetu".

Visit the TMK Wanaume Family artist page at /artist/tmk-wanaume-family for biography, popular tracks, and links to more lyric pages.