Lyrks
Lyrks
Lyrks
Cover Art

Majungu Lyrics by TMK Wanaume Family

Ndio Zetu

0

Chorus:
Fitina, majungu hayaleti maendeleo
Kila kukicha jirani (?)
Pembeni una ni simanga
Pembeni una ni simanga...
Fitina, majungu hayaleti maendeleo
Kila kukicha jirani (?)
Pembeni una ni simanga
Pembeni una ni simanga...
Verse 1: Chegge
Nuksi tupu, balaa, mikosi' imeniandama (Imeniandama)
Nimechanganyikiwa mpaka maji naita mma (Naita mma)
Kazi hakuna, mapene hakuna, kachaa hata pamba sina
Usinitangazie ubaya, nikaonekana Baba ubaya
Panapo watu wengi, hapakosi majungu
Wanajifanya wana discuss' wamejitenga mafungu
Chegge, Tembele' twende jino kwa jino mwanangu, usiandikie mate wakati kuna wino (Wakati kuna wino)
Tufanye kazi pamoja, mpaka utakapofikia kutembelеa mkongoja
Hatufanani majina, hatufanani sura, hatufanani ujasiri, hatufanani akili
Nashangaa Al Haji Sheikh Mutarakhmy' zake ni majungu na misemo ya pwani
Ami...! tsunami ,tsunami, laja hilo...! (Alaah!)
Vеrse 2: Dollo
Huko huko!
Siku izi mbona umekataa kabisa home unashindwa hata kuja kututembelea
Tulijua unazo' una mambo, kumbe unajitia fedhea
Tuna sikia, tuna jua, huku tuki uchubua
Tunajua wewe ni kijana mdogo' bado hujakua
Unapiga majungu, unaona ndio mtaji ( Mtaaaji...)
Mbona vipi? au tukupe fomu usaini uende kushiriki Miss, Mashariki ya kati?
Uko tayari' sema hutaki
Kuna nafasi ya mtu mmoja' moja imebaki
Wacha ubitozi, Hip Hop hauitaji kujisifia
Umekula Ganja; Hujala, vuta hisia
Hivi kwanini kuna watu wanashika Mic alafu wanazichezea chezea? (Chezea)
Basi kwa tarifa yenu' T.M.K. ndo mwanzo... na bado...
[Chorus:]
Fitina, majungu hayaleti maendeleo
Kila kukicha jirani (?)
Pembeni una ni simanga
Pembeni una ni simanga...
Fitina, majungu hayaleti maendeleo
Kila kukicha jirani (?)
Pembeni una ni simanga
Pembeni una ni simanga...
Verse 3: Mh Temba
Maisha ushirikiano' usikonde maskini mwenzangu
Tuko pamoja bwana' labda unisaliti wewe
Kusema sema wenzio, unaona usha win eeh
Unasifika kwa umbea, majungu na kuchonga mdomo
Najua utafika kikomo tu
Ongea nikiwepo basi ili nikuone shujaa
Sio nikitoka' na we ndo unafoka,una ropoka
Mdomo upo bize kwa ajili ya kusema sema wenzio
Kumbe nilifanya kosa' kukuonesha kwetu...?
Ndo ukaenda kupakaza, kucharaza kwetu pa chafu, ndani hamna sakafu, chumba changu karibu na bafu
Mbona ubwabwa ulikula, hukwenda kusema hatupiki' tunaendekeza dhiki
Ubaya, ubaya tu
Chumvi, chumvi tu
Ujue una niudhi' Ujue-ujue ushaniudhi
Ukiwa una penda mabaya, na wewe utaenda pabaya
Unawasema wenzio vibaya' tena bila haya
We ni nani hapa duniani hujui' mkubwa mungu
Utashindana na nani ulimwenguni' mkubwa mungu
Najijua sina adui, kama yupo' simtambui
Usiseme eti kufa wakati wenzio wanazipenda
Wakikuskia' watakutenda
Hakuamuli mtu' umelikoroga acha ulinywe
Faida ya umbea, majungu mwisho wake manundu
Ah!
[Chorus:]
Fitina, majungu hayaleti maendeleo
Kila kukicha jirani (?)
Pembeni una ni simanga
Pembeni una ni simanga...
Fitina, majungu hayaleti maendeleo
Kila kukicha jirani (?)
Pembeni una ni simanga
Pembeni una ni simanga...
Verse 4: KR Mullah
(Ha ha ha)
Ni mwendo wa kuteta' nashangaa ukija kwetu unacheka
Majungu juu ya majungu' basi ni balaa tu
Fulani kavaa nini' naniliu kala nini'
Mambo yasiyo kuhusu' wewe unayafuatia nini?
Ukizoea, utazoea (?) ata chumvi nayo utaongeza
Hao kina Temba skuizi hata mchana hawali
Eti chai ya asubuhi wao wana shushia na ugali
Ni unafki, kuteta, kulonga, kuhakikisha mwenzio una mroga
"Ujue hii shilingi elfu tano inabidi tumpe mama akaieke, alafu kesho ikifika tukaifanyie makeke"
Wacha mapepe' lete tupete...!
Si tunaelimisha, iki kuuma ujue ujumbe ndo ushafika
Chako kizuri, cha mwenzio kibaya
Haya potelea mbali!
Nenda kanitangazie ubaya...
Chorus:
Fitina, majungu hayaleti maendeleo
Kila kukicha jirani (?)
Pembeni una ni simanga
Pembeni una ni simanga...
Fitina, majungu hayaleti maendeleo
Kila kukicha jirani (?)
Pembeni una ni simanga
Pembeni una ni simanga...
Outro:
Haloo' Eh
Kuchonga sio kuzuri, nge'nga, unafiki, fitina, 'chuki sio nzuri...
Kwa sababu mdomo ungekuwepo unalipiwa kodi, ungemsema nani wewe?
We una hela we ya- yakuja kuwasema wenzio, kama ungekuwa unalipa kodi?
Na nna jua ukinuna tu, ujumbe ushafika...
(He He He!)

About “Majungu” by TMK Wanaume Family

Read the complete lyrics to "Majungu" by TMK Wanaume Family from the album "Ndio Zetu". On Lyrks you can follow along with the full text, explore the artist's discography, and discover related songs. The track is often categorized under Tanzania, Bongo Flava, Rap.

"Majungu" is performed by TMK Wanaume Family. from the album "Ndio Zetu" This page provides the full lyric text for fans who want to sing along, study the songwriting, or compare versions across releases. Lyrks organizes lyrics by artist and song slug so you can bookmark and share a stable URL. Music lyrics help listeners connect with emotion, narrative, and rhythm in a track. Whether you are learning English, researching a favorite chorus, or preparing for karaoke, having accurate line breaks and section labels (verse, chorus, bridge) makes the experience easier. We link to the official artist profile on Lyrks where available, including biography snippets, top songs, and chart placements when we have that data. If you enjoy "Majungu", explore more songs by TMK Wanaume Family using the links below. Chart and trending pages on Lyrks highlight what listeners are searching for this week. For copyright or correction requests, see our DMCA and contact pages.

View all songs and biography for TMK Wanaume Family · Trending lyrics · Billboard Hot 100

Frequently asked questions

"Majungu" is credited to TMK Wanaume Family. Songwriting credits may include additional writers listed on the release; check the credits section on this page for linked collaborators.

"Majungu" appears on "Ndio Zetu".

Visit the TMK Wanaume Family artist page at /artist/tmk-wanaume-family for biography, popular tracks, and links to more lyric pages.