Lyrks
Lyrks
Lyrks
Cover Art

Si Ustarabu Lyrics by TMK Wanaume Family

Ndio Zetu

0

Verse 1: Juma Nature
Kuna mambo uki yasikiliza ndugu yangu unaweza uka (?)
Ni mambo ya ajabu, Babu' wala sio ustaarabu
Hata hatuja salimiana, unaanza kuniwakia
Hujajua hali yangu, hujajua nia yangu
Yaani ki ufupi, hujajua jinsi gani nilivyo amka mwanangu
Kuna tabia zinatisha, zinatisha kabisa 'tena zisizofaa
Eti mtoto wake mwenyewe alie mzaa' anamtaka
Ndo kusema anakula kuku na mayai yake ambayo (?)
Au ndo tuseme utakuwa upumbavu wake... 'Usiofaa
Haya we Dada; noma hiyo msh'kaji (Msh'kaji)
Mtaani ata anadiriki kujiita msagaji
Wewe mtoto mzuri tu, huwezi kukosa hata ulaji
Hizi mbwembwe za duniani, jamani na zitamani
Yule naye (?) kaiba jogoo la jirani, la jirani
Tulieni jamani ebu acheni huo utani
(?) mia hamsini tu' kashalewa pombe
Akaingia Bar' watu wote sisi hapa tuna mwelewa
Si tunapo mfikiria, tunaona kama yeye atajijua
Ndo sababu tunajua kule bar amekwenda kusukutua...
[Chorus: Juma Nature]
Ustaarabu' unatakiwa hapa duniani
Ustaarabu' ni jambo bora hapa Tanzania
Ustaarabu' unatakiwa hapa duniani
Ustaarabu' ni jambo bora hapa Tanzania
Nashangaa' sijui kwanini watu wengi hawajui maana ya ustaarabu
Nafikiri' toka walipozaliwa walikuwa hawana ustaarabu
Nashangaa' sijui kwanini watu wengi hawajui maana ya ustaarabu
Nafikiri' toka walipozaliwa walikuwa hawana ustaarabu
[Verse 2: Dollo]
Kuna tabia nazichukia, si pendi hata kuzisikia
Wengine (?) ustaarabu
Sio ustaarabu tu, lazima tuwe na adabu
Kutokujua madhara, jе kinga unaifahamu?
Nyumba za kupanga (?), zina hasara yake
Mtu amekaa, amepumzika na mkе wake
Ko! Ko! Ko!, Ho! Fungua basi
Baba Shomari leo zamu yako kusafisha choo
Ili mradi maneno basi kulete migogoro
Watu wengine wana maudhi' sijui wanafanyaga makusudi
Una mnufaisha nani, una mpa faida nani?
Usafi wake wa ndani, shombo anatupia dirishani
Watu wengine nao; kwa kuwaharibia wenzao
Anaanza ho, msh'kaji, msh'kaji samahani 'huyu ndo yule shemeji wetu wa Mbagala au Kimara
Usione kama utasifiwa, kila mtu atakuchukia
Ustaarabu gani, shule umesomea wapi?
Jamani...jamani...jamani... jamani... jamani!
Mke na mume mlikubaliana, mkaridhiana eh
Miezi mitatu inapita mwenzako unam bwaga
Mke akianza maudhi, alafu analeta vituko
Unamuuliza pasi iko wapi?
Ana kujibu (?) uko!
Basi hapo ujue Manyama kashampitia huyo!
Chorus: Juma Nature
Ustaarabu' unatakiwa hapa duniani
Ustaarabu' ni jambo bora hapa Tanzania
Ustaarabu' unatakiwa hapa duniani
Ustaarabu' ni jambo bora hapa Tanzania
Nashangaa' sijui kwanini watu wengi hawajui maana ya ustaarabu
Nafikiri' toka walipozaliwa walikuwa hawana ustaarabu
Nashangaa' sijui kwanini watu wengi hawajui maana ya ustaarabu
Nafikiri' toka walipozaliwa walikuwa hawana ustaarabu
(Instrumentals)

About “Si Ustarabu” by TMK Wanaume Family

Read the complete lyrics to "Si Ustarabu" by TMK Wanaume Family from the album "Ndio Zetu". On Lyrks you can follow along with the full text, explore the artist's discography, and discover related songs. The track is often categorized under Bongo Flava, Tanzania, Rap.

"Si Ustarabu" is performed by TMK Wanaume Family. from the album "Ndio Zetu" This page provides the full lyric text for fans who want to sing along, study the songwriting, or compare versions across releases. Lyrks organizes lyrics by artist and song slug so you can bookmark and share a stable URL. Music lyrics help listeners connect with emotion, narrative, and rhythm in a track. Whether you are learning English, researching a favorite chorus, or preparing for karaoke, having accurate line breaks and section labels (verse, chorus, bridge) makes the experience easier. We link to the official artist profile on Lyrks where available, including biography snippets, top songs, and chart placements when we have that data. If you enjoy "Si Ustarabu", explore more songs by TMK Wanaume Family using the links below. Chart and trending pages on Lyrks highlight what listeners are searching for this week. For copyright or correction requests, see our DMCA and contact pages.

View all songs and biography for TMK Wanaume Family · Trending lyrics · Billboard Hot 100

Frequently asked questions

"Si Ustarabu" is credited to TMK Wanaume Family. Songwriting credits may include additional writers listed on the release; check the credits section on this page for linked collaborators.

"Si Ustarabu" appears on "Ndio Zetu".

Visit the TMK Wanaume Family artist page at /artist/tmk-wanaume-family for biography, popular tracks, and links to more lyric pages.