Lyrks
Lyrks
Lyrks
Cover Art

Sina Kazi Lyrics by TMK Wanaume Family

Ndio Zetu

0

Intro:
Uh huh
Yes...Yes...Yes...Yes...
Kama kawa...
Verse 1:
Wananiona kama sina maana,eti kwa kuwa sina kazi ni wazi' wala sio freshi
Wana nichukulia kama' tambara la deki kisa eti mavazi, malazi' wala sio haki
Kwako sasa kazi sina, na bado haijapatikana
Nakiri nlipo kwama' kwama (Heeh)
Naona hali bado haija twama, halafu' wananiona kama kima
Binadamu kadhaa wanakuwa wanazua uhasama
Wananikosea heshima (Sijui kwanini)
Hey kima' pia wanajaribu kuzidisha mipango yangu kimaisha kubuma
Mimi nimeuchuna
Najijua jinsi nlivyo mwema
Vibaya' nisema
(?) stukia mapema
Na kwa haya mnayo yasikia' wanaojaribu kuniharibia
Hadi mioyoni inawaingia' kwa hisia, zinawagusa wanakoma!
(?)
Wanasema' (?) eti nilikataa kusoma, hamfahamu mambo gani yalikwama
Huo ni umbea, unaitwa kusemana' (?) inabidi kuungama
(?)
Kama napata hela naamua leo kugida...
Wewe umezoea kuniona mimi nina shida
Ukiniona unasema nimelewa wida
Si bora usi (?) na uhakika' kikuda
Mi nta kukuda kuda
We da haa! haa! haa! haa!
Chorus:
Eti kwa kuwa mimi sina kazi, (Sina kazi )
Wanasema kwamba mimi kibaka ( Mi kibaka )
Eti kwa kuwa mimi sina kazi, ( Sina kazi )
Wanasema hata Ganja ninapata ( Ninapata )
Eti kwa kuwa mimi sina kazi, (Sina Kazi )
Wanasema kwamba mimi kibaka ( Mi kibaka )
Eti kwa kuwa mimi sina kazi, ( Sina kazi )
Wanasema watoto wadogo nina baka (Nina baka)
Kwa kuwa mimi' fukara sina sauti (Sina sauti...)
Mavazi yangu matambara' si madhubuti
Wana nihisi mi...
Verse 2:
Pesa sina' sababu ajira sina
Dhiki ya kwangu' kwanini mpakaze laana
Watu noma' ndo maana nachana vina
Mchana mchana wanapiga ng'eta sana, ndio sababu tunaonekana tuna laana
Sio kwa wote' mi nasema hiyo hapana
(?) aisee ni watu wa kujituma, uteja noma wash'kaji bora kusoma
Tuepuke ujinga wash'kaji bado mapema
Bullshit vicheche' ngoma noma...
Ukiathirika msh'kaji utatia huruma
Na bado dhambi msh'kaji utakuwa umechuma
Kuwa na dhiki, tunaonekana tumechoka eeh
(?) kwa nyie mlio okoka
Y- Dash nakaa mi nawaza tu kutoka
Nataka ku stick stendi nami ni we shatta
Madereva wananicheki wanasema nimedata
Mliopata wash'kaji (?) kunata
(?) tafuta pa kupita
Nivishe jezi basi' nami niwe konda
Kama hautaki' nielekeze basi pa kwenda
Natafuta ajira, usinione labda nimepinda
Niki ishaipata hata mi ntalipwa mshahara
Ntavaa vizuri, hata mi mwenzio ntang'ara
Si nto onekana mhuni' ntakuwa mtu wa busara
Ntasimama imara' kwenye msafara
Chorus:
Eti kwa kuwa mimi sina kazi, (Sina kazi )
Wanasema kwamba mimi kibaka ( Mi kibaka )
Eti kwa kuwa mimi sina kazi, ( Sina kazi )
Wanasema hata Ganja ninapata ( Ninapata )
Eti kwa kuwa mimi sina kazi, (Sina Kazi )
Wanasema kwamba mimi kibaka ( Mi kibaka )
Eti kwa kuwa mimi sina kazi, ( Sina kazi )
Wanasema watoto wadogo nina baka (Nina baka)
Kwa kuwa mimi' fukara sina sauti (Sina sauti...)
Mavazi yangu matambara' si madhubuti
Wana nihisi mi...
Verse 3:
Hii ni kwa wenye njaa' mashujaa wenye hasira' na zao chuki
Hip hop music ni kama "Jik"
Hey 'dyuza unda kiki nipe beat, nihakiki je inaunga urafiki, au inalenga unafiki
Na kama ni tiki' je hatuburudiki? ( Tunaburudika! )
Ok, basi B.K. nipe "bic" nishushe mistari uitilie tiki
Kisha tumwombe mungu, aibariki kwa moyo wenye dhiki
Japo' wenye njaa sisi sauti haziskiki
Shujaa hatabiriki wala hatambuliki
Penye nia, njia haifungiki' cha zaidi ni kuzidisha mikiki mikiki
Dyuza' ebu kazia kazia "kick"
Utaruka tu hatakama hutaki
Hutaki Hip hop' itabaki Hip hop, tunakufa na Hip hop, Hip hop, Hip hop
Chorus:
Eti kwa kuwa mimi sina kazi, (Sina kazi )
Wanasema kwamba mimi kibaka ( Mi kibaka )
Eti kwa kuwa mimi sina kazi, ( Sina kazi )
Wanasema hata Ganja ninapata ( Ninapata )
Eti kwa kuwa mimi sina kazi, (Sina Kazi )
Wanasema kwamba mimi kibaka ( Mi kibaka )
Eti kwa kuwa mimi sina kazi, ( Sina kazi )
Wanasema watoto wadogo nina baka (Nina baka)
Kwa kuwa mimi' fukara sina sauti (Sina sauti...)
Mavazi yangu matambara' si madhubuti
Wana nihisi mi...
Verse 4:
Haina uficho' cheki ishara inavyojulisha' kwamba mchana tusha upitisha
Tumesimama imara' dhiki kuiwakilisha ah
Hatuna kitu, kutwa matambaa hatutoki kwatu
Yaani zamu yetu bado tu? au foleni haiendi, au tukilala usiku tunapewa kipindi?
Kwetu hali ile ile, Acha' haibadiliki
Yaani kwa siku buku hatushiki, hii si balaa hii?
Hebu tuoneni' kutwa kucha juani
Tunachokipata hakionekani
Mfuko ukituna tu bosheni hii, hii hali jamani...
Sijui inabagua, au wanaume tu tusile (?)
Chai ya kuunguza, tunaunganika wa Rufiji; mpaka wa Buza
Tunaishi ki miujiza, mwendo wa masaa tunakatiza ah
Hatuna kitu, chenga za chukuchuku
Bila tui, wa nazi hauliki mpaka donei
Hey!.. K.R. changia changia
Bila hivyo hakiliki kitu, Eeeeh hatuna kitu
Chorus repeat

About “Sina Kazi” by TMK Wanaume Family

Read the complete lyrics to "Sina Kazi" by TMK Wanaume Family from the album "Ndio Zetu". On Lyrks you can follow along with the full text, explore the artist's discography, and discover related songs. The track is often categorized under Tanzania, Bongo Flava, Rap.

"Sina Kazi" is performed by TMK Wanaume Family. from the album "Ndio Zetu" This page provides the full lyric text for fans who want to sing along, study the songwriting, or compare versions across releases. Lyrks organizes lyrics by artist and song slug so you can bookmark and share a stable URL. Music lyrics help listeners connect with emotion, narrative, and rhythm in a track. Whether you are learning English, researching a favorite chorus, or preparing for karaoke, having accurate line breaks and section labels (verse, chorus, bridge) makes the experience easier. We link to the official artist profile on Lyrks where available, including biography snippets, top songs, and chart placements when we have that data. If you enjoy "Sina Kazi", explore more songs by TMK Wanaume Family using the links below. Chart and trending pages on Lyrks highlight what listeners are searching for this week. For copyright or correction requests, see our DMCA and contact pages.

View all songs and biography for TMK Wanaume Family · Trending lyrics · Billboard Hot 100

Frequently asked questions

"Sina Kazi" is credited to TMK Wanaume Family. Songwriting credits may include additional writers listed on the release; check the credits section on this page for linked collaborators.

"Sina Kazi" appears on "Ndio Zetu".

Visit the TMK Wanaume Family artist page at /artist/tmk-wanaume-family for biography, popular tracks, and links to more lyric pages.