Lyrks
Lyrks
Lyrks
Cover Art

Msela ft. Ngwair Lyrics by TMK Wanaume Family

Ndio Zetu

0

Intro:
Uh!
Msela, msela, msela msela...
Msela, msela, msela msela...
Verse 1: Ngwair
Yo! Uh
Watu tumeshadata na hili ghetto Life style
Shati back (?) na u-Nelly wa X-Plastaz (What?)
Hey' Dark Master ntembezee chata
Kisha unipe kipaza nihubiri kama pastor
Ndani ya ghetto ni mengi yashatukuta
Lakini' masela bado tunakomaa kutafuta
Bado tunazisaka' hata kwenye vichaka
Mtafutaji hachoki, akichoka ndo ameshapata
Japo sometimes kile kitu unachopata, Ni'
Tofauti kabisa na kile hata unachokitaka
Ila' Mwanaume lazima tu ujifunze kuridhika
Kwani ukichagua sana hukawii kutoka kapa
Duniani wote hatuwezi kuwa sawa
Na ndo maana wapinzani wa jadi mnapagawa (Yeah)
Kama nipo juu 'Ni juu (Uh-Huh)
Ningoje chini, au unifate juu uvunjike guu
Ma Supastaa tuna ng'aa kwa pamba tunazo vaa
Zina (?)
Ila tunapo kaa wengine nyumba ya udongo' nyasi
Mlango wa gunia (Uh-Huh)
Ndani hakuna kikombe, mwiko wala sufuria
Zaidi ya kiberiti tu na kipande cha mkeka
Na nikisha kula (..Ishh! ) 'mambo yangu naya weka
Wala sioni hatari kula Dona Dagaa
Siku nyingine hawa Jogoo nao wanalala na njaa
Na usione tumepinda 'Migongo
Ukadhani' ni vibiongo
Pengine ni ufupi tu wa mlango
We endelea kula bia, Acha mi nkapate Gongo
Ili mradi wote tuwe stimu' ndio life ya kibongo ( Msela! )
Chorus: Juma Nature
Mi msela' kitu gani nifanye bwana
Mi msela' maana usawa unabana
Mi msela' hata chai inashindikana
Mi msela' naona kinakuja kiama
Mi msela' kitu gani nifanye bwana
Mi msela' maana usawa unabana
Mi msela' hata chai inashindikana
Mi msela' naona kinakuja kiama
Verse 2:
Maisha ya kisela' si sawa na usela mavi
Kunya wazi wazi' kama unavyofikiri ,mduanzi
Acha u nazi' nipe nafasi niweke wazi
We unafikiri usela ni kuwapora watu?
Kulazimisha watu eti walale saa tatu
Hiyo tabia sijui umeipata wapi?
Wakati msela kama Rasi
Jah Rastafari' hana wasi
Usivamie vamie vitu ovyo' utaenda kombo
Msela mtu msafi na ana moyo safi wa ki-skauti kama leader Nyaki au Master Shafi (?)
Nani mwamba
Chorus: Juma Nature
Mi msela' kitu gani nifanye bwana
Mi msela' maana usawa unabana
Mi msela' hata chai inashindikana
Mi msela' naona kinakuja kiama
Mi msela' kitu gani nifanye bwana
Mi msela' maana usawa unabana
Mi msela' hata chai inashindikana
Mi msela' naona kinakuja kiama
Verse 3: KR Mulla
Walishaomba mechi mwanangu 'ili watupige
Tukishafika, mtutimue' Mazaga zaga uyaibe
Eti kisa (?) na Mohammed kauzibe
Anhaa!...Kumbe unafikiriaga tu dezo
Iweje maneno yako mengi kuliko maelezo?
Mganga mavumba' buku ishirini mpaka sitini
KR bado nipo makini' na nafikiri ni lini nta win
Kila mtu nnaye mgusa ananiambia yupo porini
Na amua kushika mpini' Kusonga mbele
Naskia uchungu, nnavyoambiwa Juma Nature ni mtu wa misele
Mambo yenyewe' cha mtoto, Asha Ngedere
Cheza... uchezwe' kama Pele
Aisee haka ka kitu kanatwanga...
Anko dili zimekushinda sasa una wanga
Leo ni leo' asemaye kesho 'mwongo
Chorus: Juma Nature
Mi msela' kitu gani nifanye bwana
Mi msela' maana usawa unabana
Mi msela' hata chai inashindikana
Mi msela' naona kinakuja kiama
Mi msela' kitu gani nifanye bwana
Mi msela' maana usawa unabana
Mi msela' hata chai inashindikana
Mi msela' naona kinakuja kiama
Instrumentals

About “Msela ft. Ngwair” by TMK Wanaume Family

Read the complete lyrics to "Msela ft. Ngwair" by TMK Wanaume Family from the album "Ndio Zetu". On Lyrks you can follow along with the full text, explore the artist's discography, and discover related songs. The track is often categorized under Tanzania, Bongo Flava, Rap.

"Msela ft. Ngwair" is performed by TMK Wanaume Family. from the album "Ndio Zetu" This page provides the full lyric text for fans who want to sing along, study the songwriting, or compare versions across releases. Lyrks organizes lyrics by artist and song slug so you can bookmark and share a stable URL. Music lyrics help listeners connect with emotion, narrative, and rhythm in a track. Whether you are learning English, researching a favorite chorus, or preparing for karaoke, having accurate line breaks and section labels (verse, chorus, bridge) makes the experience easier. We link to the official artist profile on Lyrks where available, including biography snippets, top songs, and chart placements when we have that data. If you enjoy "Msela ft. Ngwair", explore more songs by TMK Wanaume Family using the links below. Chart and trending pages on Lyrks highlight what listeners are searching for this week. For copyright or correction requests, see our DMCA and contact pages.

View all songs and biography for TMK Wanaume Family · Trending lyrics · Billboard Hot 100

Frequently asked questions

"Msela ft. Ngwair" is credited to TMK Wanaume Family. Songwriting credits may include additional writers listed on the release; check the credits section on this page for linked collaborators.

"Msela ft. Ngwair" appears on "Ndio Zetu".

Visit the TMK Wanaume Family artist page at /artist/tmk-wanaume-family for biography, popular tracks, and links to more lyric pages.